Search results

  1. YALE

    Kama washauri wenyewe wa Chadema ndio hawa...

    Mkuu Uko ni Sangapi saivi?
  2. YALE

    Naomba kujuzwa hii species ya watu wenye miili mikubwa imepotelea wapi?

    Technology ndio imeleta hii generation watu hawatembei tena miles , Mashine za Kuwafanyia kazi zimejaa ivo Mambo ya Kuminyana yanayojenga muscles za mwili yamepungua sana,
  3. YALE

    DED wa Mafia kumsimamisha MD ni kosa kubwa mbele ya Mungu; Aliyekuteua ajue kwa unapwaya

    Wewe kweli doctor umeandika sana mcharazo, Pole kwa kusimamishwa mkuu je umechukua hatua gani au ndio umekuja kutafuta huruma mitandaoni huku
  4. YALE

    Sitosahau nilivyodhalilishwa na baamedi nilipojaribu kumtoroka bila kumlipa

    Barmed na malaya wa wazi wazi sio watu wazuri kabisa mimi hata kulala nao hapana, Napiga show iwe saa Saba au saa nane lazima nimchomoe tu asepe
  5. YALE

    Tujikumbushe, ni kitu gani kimewahi kukutoa ushamba!?

    Mkuu Mimi nimeyaongea hayo kama mtaalamu wa Umeme, kama ni ivo basi ata pasi isungeshauriwa kuigusa ili ujue kama imepata moto uanze kupasi, Kikawaida Heater ni element inayofanya conversion kutoka umeme kwenda joto, Voltage ikiwa applied Basi heater hutengeneza Drop kubwa sana hio drop...
  6. YALE

    Kesi ya mwalimu Ayubu wa St Florence imeishia wapi?

    Kwa sampuli izo Za insta tangu watoto wadogo, Unakuta mtoto mama ake ana danga na danga lenyewe linaletwa ndani, Sioni kosa la Ayubu ambaye amefata natural
  7. YALE

    Tujikumbushe, ni kitu gani kimewahi kukutoa ushamba!?

    Huu uzi imebidi niu subscribe Mana utaniongezea siku za Kuishi
  8. YALE

    Tujikumbushe, ni kitu gani kimewahi kukutoa ushamba!?

    Hio heater mbovu mkuu, Kiuhalisia haikupaswa kukutetemesha
  9. YALE

    Tujikumbushe, ni kitu gani kimewahi kukutoa ushamba!?

    Hahaha Chalii we ni kiazi asee Hahahaha
  10. YALE

    Wajue wanyama hawa na sifa zao za kipekee

    Umemsahau Ngekewa asee anapendwa na wanyama Wengi sana, Ila Pomboo ni Shidaa ana huruma sana
  11. YALE

    Machotara, hebu tupeane changamoto mlizowahi kutana nazo kwenye maisha yenu

    Machotara hawaaminiki kabisa mana ndio Double agents wa Intelligence community nyingi Huwa na maisha magumu tu kama watakuwa ndani ya Mifumo ya serikali
  12. YALE

    Kufagia barabarani na kuzibua mitaro ni udhalilishaji kwa wanajeshi wetu

    Mkuu usafi ni Swala la kijamii wala halina hadhi leo eti ni sawa useme umeamka usifagie wala kutandika ulipo lala kisa mke na House gal wapo hapana Hio mara moja moja sio mbaya kufanya lazima hao wanajeshi wachanganyike na Jamii ili kuleta mahusiano Nao Mazuri, Rais mwenyewe kuna wakati...
  13. YALE

    Mo Dewji kachangisha watu Twitter, ndani ya 3 hrs zikapatikana 30 Mil. Diamond na Alikiba hawajatoa hata Tsh 100

    Hela ni ya kwake kwanini umpangie matumizi?? Kwani ni Wapi kavunja Sheria hao kina Mo wenyewe hapo Wako Kutafuta publicity tu, Utakuwa mjinga sana ukiamini Mo anasaidia kwa moyo mmoja bila side benefits, Ivi Mo ni wakupitisha bakuli kwa 30m, Viongozi na Hao tunao ita matajiri hawawezi Kwenda...
  14. YALE

    Tanzania kupokea ndege mbili aina ya Bombardier C-Series mwezi Novemba 2018

    Afu hizo Bombardier zinazokuja hazina mapanga sijui watasemaje hawa watu
  15. YALE

    Tanzania kupokea ndege mbili aina ya Bombardier C-Series mwezi Novemba 2018

    Huu Uzi ni Kama Ufipani wameuvalia Miwani ya mbao, Chapa kazi JPM
  16. YALE

    Aliyekuwa Mpambe wa Rais Brigedia Jenerali Mbaraka Mkeremy akiongoza wanajeshi 300 kuchangia damu

    Mbona ni kipindi chote ADC anaponekana na Rais huwa na Gwanda
Back
Top Bottom