Search results

  1. kazi kaz

    Naomba mnisaidie niweze kulijenga taifa kwa kupata kazi ndugu zangu

    Wakuu bado sijapata nasisitiza mnisaidie nipate kaz
  2. kazi kaz

    Naomba mnisaidie niweze kulijenga taifa kwa kupata kazi ndugu zangu

    Mi nimesoma veta ila uko tanesco bila kushikwa mkono utaangaika sana nishapelekaga maombi nikatoka kapa
  3. kazi kaz

    Naomba mnisaidie niweze kulijenga taifa kwa kupata kazi ndugu zangu

    Napatikana mbezi kaka na pikpk naendesha ila Sina lesen
  4. kazi kaz

    Naomba mnisaidie niweze kulijenga taifa kwa kupata kazi ndugu zangu

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mwenye fani ya ufundi umeme (ELECTRICAL INSTALLATION) CBET LEVEL III nilihitimu mwaka 2014 na nilifanikiwa kufanya kazi sehemu mbalimbali hasa kama fundi wa kujitegemea wa wiring majumbani sasa mambo yamebana nahitaji nipate sehemu niajiriwe ni mchapa kazi...
  5. kazi kaz

    Hodi wana jamvi

    Habari zenu mi ni mtanzania mwenzenu mnipokee kwa wema asante
  6. kazi kaz

    Maswali yangu Kwa TRA na anayejua utalatibu mzuli wa TRA na ukusanyaji wao wa mapato

    jamani Kwa upande wng naona kama awa jamaa wanakosea katika ukusanyaji wao wa kodi na kumkadilia mfanya biashara Kwa maana makadilio yako wamesha yapanga na kuuliza mauzo ya mlipa kodi ni kumtoa akilili mlipa kodi Kwa sababu ukiwatajia mauzo yako wanakubishia utasikia aiwezekani Kwa siku uuze...
  7. kazi kaz

    Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

    awajielewi eewh wabongo movie
  8. kazi kaz

    Nafasi za JKT zinatoka lini?

    nafasi azijatoka tukapambane wilayani
  9. kazi kaz

    Nafasi za JKT zinatoka lini?

    jamani bado tu
  10. kazi kaz

    Electrical installation

    Mimi ni fundi umeme Kwa ngazi ya cheti nimesoma veta Nina leve lll miaka 23 nimejiajili mtaani Nina kaofisi pia nauza vifaaa ila natafuta kazi maana hari imekuwa ngumu sana mtaani
Back
Top Bottom