Search results

  1. Upkenk

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    HATIMAYE NIMEMALIZA KUSOMA PAGE ZOTE ZA MJADALA HUU MREFU ..... kwanzia saa moja usiku mpaka saa kumi nasoma tu ... Mimi nipo 2015 ( llb ) law kwa tutakao onana inshaalah . Natumaini mjadala huu ni wa baraka mno kwa kijana au binti yeyote anayetegemea kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma ...
  2. Upkenk

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    KATO ?? IVI KUNA ZERO CHUO KIKUU ?? NIMESHTUKAA:spit:
  3. Upkenk

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    kato nimechunguza sana majibu yako :angry: UNA- MAJIBU YA OVYO !!! JIREKEBISHE MWANA .. kila mtu yupo hapa anatafuta msaada na hujui ameshapitia matatizo mangapi mpaka kufika kwenye kurasa hii kutafuta majibu ya maswali yake ... Tafadhali kuwa mstaarabu kama kuna jibu KAUSHAA acha kujidai...
  4. Upkenk

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    acha tu tupendelewe bwana we unafkiri kusomea sheria kitu cha mzaha ?? uliza uambiwe sheria sio social science...we unawaza starehe za chuo?? sijui kama hata ukifika pale utapata hata muda wa kwenda kwa wajas:spit:
  5. Upkenk

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    :cool2: naona kuna haja ya kuwa samaki mwaka huu ... swimmming pool ipo humanities?? na gym ?? aisee ... ntakuwa baunsa .... sasa mnaweka gym mtu ukibeba chuma zako chache ...ukijihisi misuli inawasha unapashia wapi ?? kuna punching bags?? au tunasubiri wezi tuwafanyie majaribio :A S wink:
  6. Upkenk

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    sio siri historia yako ina sikitisha ... kasome´e uchungaji tu ndo lengo la MWENYEZI MUNGU , udaktari muachie ulimboka
  7. Upkenk

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    HASWAA ... HUJAKOSEA .:llama:
  8. Upkenk

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    hujajua tu ?? ni tarehe 18 october JIPANGE:peep:
  9. Upkenk

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    tarehe 18 october . jipange :flame:
  10. Upkenk

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    asante sana .:juggle: ubarikiwe :juggle:
  11. Upkenk

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    nimechaguliwa udom 2015 .. sijui wanafungua lini ... sijui kuhusu accomodation ...sijaweza hata ku download application form maana nikijaribu ku login inakataa msaada RAISI WA CHUO:hail:
  12. Upkenk

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    udom llb law ..umesema kuna dressing code .. fafanua tafadhali ni mavazi ya aina gani ni suti au nguo za bongo fleva ??:llama:
  13. Upkenk

    Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Tufahamishane tafadhali
  14. Upkenk

    Passwords Zinantesa!

    Ni kweli anachosema nizzo kuwa na password moja itakupunguzia mzigo wa kumbukumbu.unakuwa na password yako moja ngumu nzuri.try and you will tell us.
  15. Upkenk

    Natafuta simu - HTC Dream (T-mobile)

    Ora.naomba radhi jamani lilikuwa sio kusudi langu wakuu kuandika kwenye tangazo la mtu .ugeni taabu kweli.maisha kujifunza lakini nimejifunza Au sio.poa basi. tulia mi niondoke kwenye hii post mwenye tangazo naomba unisaidie kufuta post zangu zilizo baki huku.asante
  16. Upkenk

    Natafuta simu - HTC Dream (T-mobile)

    Sorry dude.i woz still new to this thing! understand that!
  17. Upkenk

    Mimi mgeni bana

    Poa mi nasubiri
  18. Upkenk

    Bei yako tu

    Poa.asante kwa ushauri nashkuru we ni muelewa.
  19. Upkenk

    Bei yako tu

    Hahahaha sa shida ya huku mnaongea sana.poa bwana,lakini mara zingine kateni maneno we binafsi kama hujiwezi piga kimya.mi sina shda nayo na nikiamua naiweka hata kwenye tv.sema ni uboya c bora niuze nipate hela ya kufanyia ki2 cha maana! ora! ka vipi huwez chukua usi comment hapa.au sio wakuu...
Back
Top Bottom