Search results

  1. Ngolewasima

    Mother's day.

    WOSIA WA CHIEF KATIKA SIKU HII YA MOTHER'S DAY. Niweke bayana kina Mama tunaowawish leo ni toleo la zamani sio vidada vya siku hizi. Kuna uwezekano watoto wanaozaliwa sasa wasione uzito wa hii siku Wapi hawa wadada wameumizwa na malezi ya watoto? Muda gani wanao wadada wa siku hizi juu ya...
  2. Ngolewasima

    Maigizo kila kukicha wacha tuizike elimu kwa ubaguzi huu

    Mwaka huu kweli masharti ni mengi mpaka napatwa na wasiwasi mkubwa. Nimejaribu kupitia utaratibu wa utoaji wa mkopo kwa waombaji {Applicants} wa 2018/2019 kuna vigezo ambavyo ninaona hujuma juu ya watoto wa Maskini Kujiunga elimu ya juu {Chuo kikuu}. Nimesoma kipengele cha sita kinaeleza kuwa...
  3. Ngolewasima

    Mpende akupendaye, asiyekupenda mpotezee

    TESO KUBWA SANA KATIKA MAISHA YA MWANADAMU NI KUMPENDA MTU ASIYE SAHIHI KATIKA ENEO LILILOSAHIHI YAPO MAMBO 25 YANAYOJITOKEZA* 1. Mtu asiye sahihi huleta mahangaiko na mateso. 2. Mtu asiye sahihi huleta majuto katika maisha. 3. Mtu asiye sahihi huleta umasikini, taabu na maumivu. 4. Mtu asiye...
  4. Ngolewasima

    Kama ungekuwa wewe ungefanyaje...?

    Umeshawahi kwenda kwenye harusi halafu Dj akawa anaplay mziki wakati huo mziki uko sauti ya juu sana halafu unaongea na rafki yako kwa sautiii ili akusikie. mara Dj anazima gafla mziki halafu Inakukuta unapayuka "Bibi harusi mbayaa" halafu umekaa nyuma ya meza ya wazazi wake Hapo ndio utajua...
  5. Ngolewasima

    Mtatiro amenena vyema kuhusu Sugu na Masonga kutoka gerezani

    SUGU NA MASONGA WAMERUDI, TUJIULIZE! Leo tarehe 10 Mei 2018, Mbunge wa Mbeya Mjini a.k.a Sugu pamoja na kiongozi mwenzake wa Chadema (Masonga), wametolewa gerezani. Kihesabu wamekaa gerezani kwa miezi mitano gerezani (Siku 73) miezi miwili na nusu - ikiwa tutachukulia ile hesabu ya Kiswahili...
  6. Ngolewasima

    Tabia mbaya walizonazo wanawake ila wengi wao huzificha

    HIZI NDIO TABIA MBAYA ZAIDI AMBAZO KARIBU KILA MWANAMKE AWEZA KUA NAZO JAPO WENGI HUJITAHIDI KUZIFICHA. 1. Si wakweli hasa ikiwepo harufu ya pesa sehemu, mwanamke yuko tiyari kumuita mwanaume wake kinyago, mjinga, mwanaume suruali kisa kaishiwa hela, wanaume wengi sana wamesaidia wanawake mpaka...
  7. Ngolewasima

    Ni mwenye akili za kuelewa tu ndio ataelewa nukuu hii

    NUKUU YA LEO. "Ujinga hauondoki kwa kumchukia mwenye akili, umasikini hauondoki kwa kumchukia tajiri, kuhesabu dhambi za mwenzio hakukufanyi wewe kuwa mtakatifu...," Nakutakia siku njema.
  8. Ngolewasima

    Viongozi vijana waliopo madarakani hawana chachu ya kutatua tatizo la ajira kwa vijana

    Kuna kundi kubwa la vijana wenye mtaji wa mawazo na ubunifu wa biashara na karama zao, ila wamekosa mtaji [pesa] wa kuendeleza mawazo yao chanya. Graduates wengi hawana vigezo vya kukopa pesa kwenye taasisi za kifedha kutokana na vigezo na masharti magumu na sifa za mkopaji kuwa magumu...
  9. Ngolewasima

    Ipo hivi.....

    UNAJUA YA KWAMBA…. 1.Kitu kizuri kupita vyote ni: UPENDO 2.Kitu rahisi sana kuliko vyote ni: KUDANGANYIKA 3.Zawadi kubwa kuliko zote ni: KUSAMEHE 4.Ajali kubwa kuliko zote ni: KUKATA TAMAA 5.Kitu kinacho danganyika sana kuliko vyote ni: MOYO 6.Kitu kinachojenga pia kubomoa kuliko vyote ni: ULIMI...
  10. Ngolewasima

    Ni sahihi kimaandiko kwa walokole kutumia uzazi wa mpango?

    MADA. Ni sahihi kwa wazazi walio okoka Kupanga uzazi!...... Je! ni halali kutumia kinga! kuzuwia Mimba pale ambapo hawahitaji mtoto! Je! Wazazi kujipangia watoto nisawa!! Mf; Tunataka tazae watoto wa 2'3'4'4'nk! Je! Kuna andiko lolote linalosaport hayo. KARIBUNI TUCHANGIE WANAWAKE.
  11. Ngolewasima

    Haaaa.....!!!

    Nauliza "Wale WANAMAZINGAOMBWE" waliokua wanageuza MAKARATASI kuwa HELA tukiwa PRIMARY SCHOOL wapo Wapi? Huu ndio Muda Sahihi sasa nina RIM PAPER Kama 3 ivi .
  12. Ngolewasima

    Kazi kwako wewe mwanamke ukweli ndiyo huu...

    UKIAMUA KUWA NA MAHUSIANO NA MUME WA MTU LAZIMA UKUBALIANE NA MAMBO YAFUATAYO:, 1.Baby samahani dakika moja,wife anapiga simu 2.Baby muda umeenda Sana mke wangu atanipigia, wacha niwahi kurudi nyumbani, Kesho saa 12 nitakuwa hapa 3 Bby nataka kuja kulala kwako mke Wangu amefiwa kaenda kwao...
  13. Ngolewasima

    Ishi utakavyo wewe......

    KUNA MWALIMU MMOJA ALIINGIA DARASANI AKAANDIKA UBAONI KAMA IFUATAVYO: (1) 9+1=70 (2) 9+2=11 (3) 9+3=12 (4) 9+4=13 (5) 9+5=14 (6) 9+6=15 (7) 9+7=16 (8) 9+8=17 (9) 9+9=18 (10) 9+10=19 Alipo maliza kuandika tu, akaona wanafunzi wote walikua wanacheka, kwasababu alikua amekosea swali la kwanza...
  14. Ngolewasima

    Punguza neno au ongeza neno wewe mwaume

    *HII NI KWA WANAUME WOTE* *Wanaume wenzangu, tufanye kazi kwa bidii tutafute hela ili uzee wetu tuwe na uwezo wa kujitegemea. Hakikisha kwenye uzee wako una pesa zako mwenyewe za kukufanya usurvive. Sahau kuhusu watoto, na mama yao kwamba watakutunza. Wewe ndiye stranger pekee kwenye hiyo...
  15. Ngolewasima

    Kwa wanaume: Kua uyaone

    *HII NI KWA WANAUME WOTE* ✍✍✍✍✍✍✍ *Wanaume wenzangu, tufanye kazi kwa bidii tutafute hela ili uzee wetu tuwe na uwezo wa kujitegemea. Hakikisha kwenye uzee wako una pesa zako mwenyewe za kukufanya usurvive. Sahau kuhusu watoto, na mama yao kwamba watakutunza. Wewe ndiye stranger pekee kwenye...
  16. Ngolewasima

    Lazima ujitambue kwamba wewe ni nani na wajibu wako ni upi

    Tafakuri! 'Ukitaka kujua wewe ni nani? Usiulize ,Fanya kitu. Matendo yatakutafsiri na kukuelezea wewe ni nani". Kwa hiyo usisahau kwamba njia bora kabisa ya kujitambua ni kujitoa kwa wengine hii ni tafakauri ya mwanajamii maarufu...
  17. Ngolewasima

    Haki ni zao la demokrasia.

    Inapokosekana haki na demokrasia haipo tena, na inapokosekana demokrasia haki nayo hutoweka. Watu wengi wapenda haki hapa duniani waliishia kubezwa na kuswekwa nyuma ya nondo Kwa sababu anachokihoji watu fulani hawataki wakisikie. Leo hii ukiuliza swali dogo tu kwamba DEMOKRASIA ni nini...
  18. Ngolewasima

    Cheka upate afya.

    TAFAKARI CHUKUA HATUA. hivi hawa wauza karanga za kutembeza wakienda chooni kapu wanaliweka wapi?.........USICHEKE NIFAHAMISHE!
  19. Ngolewasima

    Ndiyo...

    *Utaskia mtu akiniuliza kwa nn napenda kuchat na my ex?? Kwan wewe hujawahi tumia past papers kufanya revision....?* *Msinichoshe*
Back
Top Bottom