Search results

  1. M

    Waliokosa mkopo waandamana dar

    Inashangaza mno. Jamani tumpate aliekuwepo tuwasiliane nae nasi tumpe taarifa zetu atuwakilishie. Nasi niwaathirika.
  2. M

    Wizara ya elimu yalipa baadhi ya madai ya walimu

    WIZARA IMEWALIPA BAADHI YA MADENI YA WALIMU. ILA CHA KUSHANGAZA WALIOLIPWA NI WATUMISHI WACHACHE KULIKO KAWAIDA. ANGALIA HAPA TAARIFA YA MADAI YA WALIMU YALIYOLIPWA KATI YA TAREHE 1 JULAI HADI 30 DESEMBA, 2012
  3. M

    CHADEMA tukichukua nchi 2015 tuifanye nini CCM?

    Mhh......, mie najua chadema inawaza itawafanyia nini wananchi kilicho bora kama itashika nchi na si kuifanyaje ccm.
  4. M

    Ukweli kuhusu hali ya mh. Zitto Kabwe - 29 Oct 2011

    Pole sana! Ni kweli, uvumi huu umetutesa watu wa jimbolako! Mungu akusaidie ili upone salama! Maji na umeme Mahembe ni matunda yako, hakika Mungu akusaidie utuletee maendeleo zaidi ya hayo. POLE SANA JEMBE LETU!
  5. M

    TCU, selection lini?

    Hivi inamaana tcu hawajatoa kitu? Mbona leo kunamtu ananieleza wametoa? Au CHENGA TUPU?
  6. M

    Mwaliko wa futari kwa watoto yatima toka kwa JK

    Hivi wabongo mbona hatutoi michango hata msomaji akisoma avutiwe kwa hoja? Mf:- mada hiyo nikiijadili ktk pande mbili- POSITIVE Nampongeza kwa hilo alilofanya rais kwani 1.Amefanya watoto wajione kua nao ni jamii ndani ya jamii ya watanzania. 2.Ni changamoto kwa viongozi na wanasiasa nao...
  7. M

    Hii ndio safu ya wahadhiri katika chuo cha "informatics and virtual edcucation" UDOM

    Udom mnanifurahisha kwa kuumbua maovu. Sijawahi kukuta mmeweka mazuri yanayofanyika UDOM. Hivi hayapo? Halafu hata hizo data chanzochake nikipi? Tumia hoja nzito kunishawishi hizo data zimetoka wapi. Mf Mr.Mohamed Dewd ninamfaham ni PHD, Pia yupo Salim Diwani nae ni PHD, huyo unamjua? Hivyo ndo...
  8. M

    viongozi 6 wa dini wakiri kuhusika na madawa ya kulevya

    Wewe ikubali habari hiyo. Mbona mnataka kuwasafisha? Mie najua maaskof wakiombwa wasisemwe wanakubaliwa b'se wao wanajiona wako juu ya sheria. Iko siku mambo yatakua hadharani. Ukiona shule za st zinajengwa ujue kuna siri kali. Haya teteeni wenye mbeleko ya kuwabeba waovu sisi yetu macho.
  9. M

    Manispaa ya tabora idara ya sekondari kuna nini?

    Acha ya Tabora, sisi wa Shinyanga manispaa hilo la kutolipwa nauli, au hata pesa ya kununulia daftari la sh3000. Hakuna. Sambamba na hivo 1. Madaraja upandishwaji si kwa wakati. 2. Bado wanalazimisha watu warudi vituoni kufanya TP. 3. Tunatozwa 1500TSH ya Kitambulisho. SOLUTIO. 1. Tujitoe...
  10. M

    Tufikirie juu ya miundombinu Ya chuo kikuu cha Dodoma

    Hivi hii UDOM itafikia hatua tuichoke. Kila anaeingia ni kutoa maada juu ya UDOM. Inashangaza kumuona huyo huyo akimuomba mdogo wake asiache kuchagua UDOM. Hivi JF niukumbi wa kuonyesha maovu tu? Tujifunze kuandika faida ya kitu na hasara za kitu ili wachangiaji tuwe na uwanja mpana.
  11. M

    Hotuba ya Mkuu jana

    Kila mtu anahoja yake. Hakika hotuba ya jana imetulia. Tatizo ni huo uzoefu, ungetolewa ufafanuzi anautatuaje. Big up JK. Ukikosa tunapaswa tukupondee ila kwa waungwana kama sisi ukifunika mabonde lazima tukupongeze!
  12. M

    Walimu kigoma washerehekea mei mosi bila mishahara

    Inasikitisha sana katika taifa hili bado kunamatatizo ya kucheleweshewa mishahara. Hivi wahusika kwanini wasifukuzwe kama wameshindwa kuwajibika? Eti sababu Anae sain payrow yupo safari kikazi. Hivi mfanyakazi huyu tunamkomboa au tunamdidimiza? Je, chama cha walim hamlioni hili? Chama cha...
  13. M

    Waarabu-chanzo cha uvivu na umasikini kila walikopita?

    unapo eleza kitu na uhakika umekifanyia uchunguzi. Ila napata mashaka kama uchunguzi huo ni wakina kiasi gani. Jaribu ufanye uhakiki pia. Binafsi sijakubali hoja uliyoruka nayo. Kwali JF Imevamiwa. No research no right to speak.
  14. M

    Chama cha walimu

    Nianze kwa swali! Hivi CWT mnachowasaidia walimu ninini? Nadhani muondoe kifungu cha 'KILA MWALIMU NI MWANACHAMA' Hamuoni mnawanyima watu DEMOKRASIA ya kujiunga au kutojiunga? 1.Katika MANISPAA YA SHINYANGA walimu wanachangia vitambulisho sh.1000/= wakati mnafaham fika kitambulisho ni mali ya...
Back
Top Bottom