Mfumo huo mzuri ila inahitaji pumzi ya maana maana kuruhusu counter attack ni rahisi zaidi. Ushauri wangu timu ijaze viungo kwaajili ya kuharibu movement za adui. Lakini pia kama kocha ataona inafaa Mzamiru, Kibu D na Putin kanute wacheze nyuma kidogo kuwasaidia mabeki huku wakifanya...
Kaka tz Kuna timu inayoabudu uchawi kama Simba?? Kutoka mbezi hadi temeke kinyumenyume ni uchawi bado ukaunguza uwanja wa watu ugenini na ukapigwa ya mbavu
Njaa mbaya sana. Unatafuta waumini kwenye jukwaa la wajuvi wa mambo?? RC, KKKT NK wanaabudu siku ya jumapili kwa Imani Yao kwamba wanaadhimisha siku ya UFUFUKO WA BWANA YESU KRISTO MBEBA UZIMA. OVER
Rage alishasema na kauli yake inaishi milele. Na ikumbukwe kauli ya mwenyekiti ni sheria hakuna kocha Wala mtu yoyote wa kupinga na kubadili kauli hiyo.
Mbona nyinyi mlisema Tp mazembe mbovu kisa kufungwa na yanga?? Why hamkumpongeza Yanga?? Simba na yanga wote hamna mwenye unafuu kwenye unazi usio na uhalisia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.