Search results

  1. E

    Bachelor of Education & Bachelor of Art With Education ni Programme ipi nzuri kuchukua?

    Ningemshauri achague kozi tofauti na hizo. Kusomea ualimu ni kusoma uwe masikini hapa TZ. Hutalala njaa ila maisha yako yatajaa mikopo kuanzia ya benki hadi kule bayport na saccoss. Aidha, ni kazi ambayo kila kiongozi wa kisiasa akijisikia kudhalilisha mtu au kutukana, anaenda kuwatukana...
  2. E

    Taarifa kwa umma: Ufafanuzi wa Bunge kuhusu kauli ya Spika

    Mungu ametibua cocktail part pale jumbani. Sherehe za msiba zimezimika. Barabara ziliandaliwa kwa usalama wao watu wasiojulikana, wanaofanya matendo yanayojulikana, yaliyoratibiwa kutoka panapojulikana na watu wanaohisiwa kujulikana na kwenda kujificha mahala panapojulikana.
  3. E

    Tumehamia Dodoma kwa Usalama Wetu na Kuwa Karibu na Wananchi

    Je! Hatukuwa na uwezo wa kujenga Ikulu nyingine eneo jipya Dar es Salaam? Je! Kwa wakoloni kulijua chimbo letu la magogoni; kuliwafanya wajue na majengo yote ya serikali? Mfano, jengo la wizara ya Afya; Utalii na Maliasili; mambo ya nje; Benki kuu; Mambo ya Ndani; Nje; nk. Kuna majengo mengine...
  4. E

    Tumehamia Dodoma kwa Usalama Wetu na Kuwa Karibu na Wananchi

    Miaka ile ya enzi za Mwl. Nyerere tuliamua na kukusudia kuhamia Dodoma tukiwa na sababu kadhaa. Miongoni mwa hizo ni pamoja na: Mosi, nchi yetu haikuwa salama sana kutoka kwa maadui wa nje. Tanzania ilikuwa ni nchi moja kati ya sita wanachama wa Nchi Sita za Mstali wa Mbele wa Ukombozi wa...
  5. E

    Kaka wa Taifa akiwa kitandani amezungukwa na malaika wa Bwana - tutafakari yafuatayo

    Stelingi hakimbii vita. Na akifa/akiondoka picha limeisha!
  6. E

    Majanga: Tanzania yaburuzwa Mahakama ya Usuluhishi kwa kuvunja Mkataba wa Mradi uliokuwa ufanyike Bagamoyo

    Toka tuanze kushitakiwa, iwe katika mahakama za ndani ama iwe mahakama za nje, tumeshinda kesi ngapi na tumeshindwa kesi ngapi? Kwa kumbukumbu tu, tukiwa na wanasheria wetu, tumeshindwa nyingi.
  7. E

    Wasomi wasema ‘Spika Job Ndugai hana mamlaka kumzuia mbunge kuzungumza bungeni’ aache ulevi wa madaraka

    Ninayakoleza maneno yako kuntu. "Sasa nimefahamu maana ya spika ni nini, spika ni kitu kinachotoa sauti kwa kufuata volume aliyoweka mmiliki"
  8. E

    Wanaohoji uzalendo wa Tundu Lissu inabidi wayajue haya...

    A Moto umezidi kuchochewa, Maharagwe yanatokota yanarukaruka chunguni kujikinga na joto linalozidi kuongezeka, lakini bahati mbaya kwa maharagwe hayawezi na hayana uwezo wala akili ya jinsi ya kutoka chunguni kwenda kuuzima moto!
  9. E

    Kuna haja ya Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wakati waliofanya shambulizi 'wanajulikana'?

    Weye bado unasoma gazeti la "Uhuru"! Gazet ambalo ni chafu halifai hata kufungia vitumbua!? You must be joking! Unasoma Uhuru! Siku hizi gazeti hilo linaitwa " Uhuni" na sio uhuru.
  10. E

    Kupaka rangi Nissan Safari (black metalic)

    Naomba kujua makadilio ya gharama za kurudia rangi kwa gari Nissan Safari. Gari hizi nissan safari/patrol huwa zinachakaa kipaa cha juu cha gari.
  11. E

    Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Kama mlipuaji wa Olasiti Arusha-kafia mikononi mwa polisi. Mtekaji watoto kafia mikononi mwa polisi Arusha. Yamkini, dereva naye angefia mikononi mwa polisi. ANGALIZO: Siku zote ukimtambua jambazi kwenye tukio la ujambazi lazima uliwe na huyo jambazi uliyemtambua!
  12. E

    Mbowe anapoitangazia Dunia kuwa Tanzania si mahali Salama ana maana gani?

    Umemsahau: 1. Adamu Malim : Risasi zilifyatuliwa mbele yake mchana kweupe pe! 2. Cuf Lipumba: Walivamia mkutano wa CUF origno wakionesha silaha. 3. Kibiti: Polisi zaidi ya kumi wameuawa. Viongozi wa CCM zaidi ya 28 wameuawa. 4. Kilwa: Walimu wa dini ya kiislam walitekwa msikitini, wamerudi...
  13. E

    POLISEZ: Alipotokeza Kushangilia Vifo vya Polisi Kibiti Alikamatwa Muda Ule Ule.Wa

    Alipotokeza kushangilia waliomjeruhi Mh. T. Lissu akilaumu mbona hawakumwua, polisi hawajahangaika naye. Mwingine aliomba amwue Lissu hawakumsumbua. Ila yule aliyeshangilia kuuawa kwa askari nane huko Kibiti walimsaka mara moja. Natamani nifike.
  14. E

    Tukio la Lissu: Dhana 3 za msingi ambazo zinatokana na ‘mchujo’ wa dhana mbalimbali

    Anayetuhumiwa kwenye ishu ya Bensaa 8, kwa kuwasiliana naye wa mwisho; pia ameingizwa humu hakuwepo maskani jana. Inasemekana aliyeenda kuratibu mipango
  15. E

    Hata kama siyo wao, watu wataamini ni wao tu!!

    Kinachoashiria kwamba huenda sirikali chini ya chama chake imehusika ni hizi taarifa zenu za kuja kwa kasi mno kuitetea serikali na chama chake. Umekuwa ni utamaduni uliozoeleka humu mitandaoni, serikali ikijichanganya na kulikologa basi hutokea nyuzi nyingi mfululizo kuitetea serikali na...
  16. E

    Shaka Ssali atua DSM, kuongoza kipindi mubashara cha mambo ya Tanzania na Demokrasia

    Inaonesha kuwa unaogopa sana kujulikana unavyominya demokrasia bongo. Vipindi vingi vya hawa media za nje hugeuzwa kuwa makala kwenye media zao.
  17. E

    Tanzania has become a hotbed of Kagame spies under Magufuli watch: Who is Mike Rwalinda and Hotel Kagame in Dar?

    Bahima Empire in construction. Muda upo. Umesahau kumtaja ruksa. Yeye anakula kuku kwa mrija Loliondo aliyoipiga mnada inateketea na wamasai wake
Back
Top Bottom