Search results

  1. ikyenja

    Mbunge atozwa faini kwa kujisaidia hadharani

    Atatembeaje? Ni mzembe tu kimazoea
  2. ikyenja

    Lissu awe Mwenyekiti CHADEMA na Lema awe Katibu

    Naunga mkono. Kwanza huyo katibu mkuu haonekani kabisa
  3. ikyenja

    Tunamshambulia na kumponda sana, ni haki yetu ya kikatiba lakini tunavuka mstari wa ustawi wa nchi yetu

    Nimesoma comments zote, mjadala umeenda vizuri. Mtu ameweza kupewa majina ya ajabu ajabu basi sio bure, kuna kitu kinamhusu hakipo sawa. Tutamkosoa kulingana na mwenendo wake. Mtu gani anashindwa kulinda heshima ya Jumba Kuu kupitia mdomo wake mwenyewe eti tumnyamazie. Sote hatupendi iwe...
  4. ikyenja

    Stephen Wasira: Kuikosoa Serikali sio jinai na ni wajibu wa Rais kuwasikiliza wananchi

    aiseeee. This man has aroused from nowhere
  5. ikyenja

    Bila shaka ajenda ya kuomba ongezeko la posho ilikuwa ni ya madiwani wa CHADEMA, je watasusia vikao?

    mnataka kutuambia kwamba mh mkuu hajui tofauti kati ya posho na mshahara? Acheni udhalilishaji
  6. ikyenja

    Gesi ya helium yagundulika kwa wingi zaidi nchini

    ungekuwa mtaalamu kama wazungu ungenufaika bila hivyo ni kama gas haipo
  7. ikyenja

    Naishi na mwenzangu somehow mchafu. Harufu harufu mimi sipendi

    Nashukuru sana kwa michango yenu wapendwa. Nionavyo mimi suala hili ni matokeo ya kutofanya usafi ipasavyo. Yaani mwenzangu anaoga asubuhi baada ya kuamka. Anafanya kazi zote hadi jioni. Kumkumbusha kuoga kabla ya kulala ndio inakuwa shida. Hukataa kwa madai ameoga asubuhi. Sababu kubwa ni...
  8. ikyenja

    Naishi na mwenzangu somehow mchafu. Harufu harufu mimi sipendi

    Habaririni wapendwa Mwenzenu sina amani kwa kiasi fulani. Naishi na mwenzangu somehow mchafu. Harufu harufu mimi sipendi toka huko chini inayoambatana na kikwapa cha huko huko. Nimefanya jitihada sana kumshauri afanye usafi, aoge angalau mara mbili daily lakini wapi!!! Kuna wakati anajua...
  9. ikyenja

    Uonezi katika udahili 2017, Maombi chuoni na kila chuo unalipa

    Usumbufu huu. Hujui probability ya kupata chuo ni random!? Kwanza elewa hapa wanaongelea nini!? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ikyenja

    Hakimu mkazi au resident magistrate ni nani?

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Kwanza fahamu kuwa neno Kisutu yaweza kuwa ni eneo au mtaa au mahali ilipojengwa mahakama. Pili elewa kuwa mahakama ya Hakimu Mkazi ni level ya mahakama katika mfumo au muundo wa mahakama katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo huanza na mabaraza ya...
  11. ikyenja

    Ni sawa kununua gari ya TZS 15 Million huku ukiwa unaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule?

    Tatizo wa Tanzania hamtaki kusaidia. Mngejibu faida na hasara za kujenga au kununua gari. Haya majibu ya kupangia maisha watu ni umaskini wenu tu. Mmezoea hivyo
  12. ikyenja

    Ushauri: Wafanyakazi kazini hawanipendi

    Sema tu hajitambui. Utaanza kuniogopa mimi maana una sifa za ovyo halafu unadai kuchukiwa. Hauchukiwi na kufaulisha huko ni uongo.
  13. ikyenja

    Msaada haraka tafadhali kichwa kinanikosesha amani ya kuishi

    TMJ hospital [emoji541] inatoaga huduma ya CT scan. Nenda kajaribu. Kumbe kizunguzungu kina uhusiano na kikohozi. Tatizo lako nami pia linanisumbua ila sina maumivu.
  14. ikyenja

    Kwanini wake wakisafiri huhamisha ma house girl?

    Naomba kuuliza, housegirl abaki ili afanye nini!? Nijuavyo mimi ni kwamba housegirl ni wa kumsaidia mama. Mama aliondoka na mtoto basi hana kazi.
  15. ikyenja

    Rais na Mwenyekiti wa Chama

    Amani iwe kwenu wadau. Kwa muda sasa nimekuwa najiuliza mantiki au uhusiano wa dhana ya Chama kuisimamia serikali. Ni pale ambapo chama cha siasa kinachounda serikali kinadai kuisimamia serikali ilihali kiongozi mkuu wa Chama hicho hicho ni mkuu wa serikali. Hapo najiuliza huyu Rais wa nchi...
  16. ikyenja

    Uchawi

    Hamjajibu swali au ombi langu jamani
Back
Top Bottom