Search results

  1. T14 Armata

    Kagera : Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema

    Wakati anachaguliwa kuwa Mayor alikuja kujificha nyumba nilimokuwa. Nilitoka tuition yake nikafika ndani nikamkuta ila nikashangaa watu wana furaha jumlisha wasiwasi. Nilikuwa na assignments sikufuatilia nikawapuuzia, kesho ndio nikajua amechaguliwa. Ule uchaguzi kama nakumbuka vizuri kata...
  2. T14 Armata

    Kagera : Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema

    Namuona Chifu Kalumuna hapo kushoto
  3. T14 Armata

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Ile Mil ilimuua na India wanapata ajari sana za helicopters. Mazingira yao ya kijiografia na strict training runs zinachangia. Pamoja na servicing mbovu
  4. T14 Armata

    Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania

    Kwamba Misenyi ina kipato kuizidi Karagwe na Bukoba? Vichekesho hivi😂
  5. T14 Armata

    Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania

    Muleba DC ipo namba 16, Misenyi DC ipo namba 25. Hizo zinaizidi nini Bukoba MC ambayo haipo? Na Misenyi inaizidi nini Karagwe ambayo nayo haipo. Alafu Dodoma CC inakuwaje ya pili. Sehemu ngumu na chungu vile kibiashara eti inaizidi Arusha na Mwanza.
  6. T14 Armata

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Hapohapo Marekani walikuwepo majenerali zaidi ya watano ambao walikuwa marais. Hata General Dwight Eisenhower alitoka kuongoza Allied Forces WW2 akawa Rais. Na wote hao hakuna aliyekuwa anaitwa President General XXX
  7. T14 Armata

    Simba SC acheni mambo ya kuteuana, wekeni ajira hewani wenye Sifa waombe

    Kutafuta graphics designer hawawezi sembuse management
  8. T14 Armata

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    President Richard Nixon na President Gerard R. Ford walikuwa wanasheria. Kwenye utambulisho huwa waandikwa na LLB au J.D mwishoni kama ambavyo Diploma holder wa nchi moja anavyoitwa Dr. na kapewa mkononi?
  9. T14 Armata

    Jinsi Iran ilivyotekeleza shambulio lake dhidi ya Israel

    Aircraft carrier ni moving target, haufyatui makombora kiholela kama unavyofyatua uyatume nchi kavu. Marekani alimuua Jenerali wa Iran, Iran ikapiga pavements za uwanjani. Hakuna mlinganyo kabisa
  10. T14 Armata

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Alafu Dr. na CPA ndio big deal si ndio? Tittle ya mtu ni deal kwenye field yake. Marekani hawawezi kuwa wanacheza gofu, Daktari Mambo Jambo akaitwa Dr., ataitwa Bwana Mambo Jambo. Uku Tanzania hata ukifuma watu wanajisaidia vichakani kama ni madokta bado watataka waitwe kwa vyeo vyao.
  11. T14 Armata

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Ndio msingi wa hoja yangu, hapa kwetu PhD holder mmoja anadai ni msomi anataka tuhamie Burundi. Ila ukimuuliza ukuaji wa uchumi, anataja gari mikweche namba E ni nyingi na kufanyika kwa harusi nyingi mtaani. Anapima uchumi kwa nyege za watu.
  12. T14 Armata

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Hapa ni ofisi za umma? Hizi si ni platforms za kuombea kazi na kutafuta wateja kwenye field husika. Sasa sisi hapa bongo kwenye ufunguzi wa vyoo vya stendi, kiongozi wa serikali anatajwa kama Advocate utadhani kuna kesi pale stendi. Na tukienda kukagua mafuriko, kiongozi anaitwa CPA utadhani...
  13. T14 Armata

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Unamdanganya nani. Condoleezza Rice ni Professor ana elimu chungu nzima hadi kaenda Moscow kasoma Kirusi, hakuna sehemu ofisi yake, serikali, waandishi wa habari Marekani wanaandika title yake kwa kutaja uprofesa wake Sisi hapa mmiliki wa kikundi cha wanenguaji akiwa mbunge kwa kigezo cha kujua...
  14. T14 Armata

    Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

    Tuonyeshe ni madhara gani yametokana na hayo makombora. Israel imeua maafisa 7 wa jeshi wakipanga ugaidi, Iran imefanya madhara gani.
  15. T14 Armata

    Kwanini Mandela anasifiwa wakati hakuwapa Uhuru Waafrika wa asili wa Afrika Kusini

    Na ndio wenye hela tabaka la juu, Uganda hata Wasomali wachache wanadharau wenyeji. Idd Amin alipochukia kwanini Wahindi ndio wenye hela akawafukuza na kugawa biashara zao kwa Waganda. Mtu alikuwa kilaza na mzinzi uko eti anapewa usimamizi bakery ya mikate. Wakafirisika, ile wanarudi Wahindi...
  16. T14 Armata

    Alichokifanya Israel ni dharau dhidi ya Iran. Kuna haja ya kurudia tena mashambulizi kule Israeli

    Fattah-1 ni hypersonic missile? Yani ukiamua kuita missile yako ni hypersonic basi kila mtu akubali. Mbona Iran ilidai ina makombora ya kuharibu Israel na ikarusha zaidi ya 300 na hamna kitu imefanya
  17. T14 Armata

    Biden: Marekani haitashiriki katika Mgogoro kama Israel italipiza kisasi kwa Iran

    Majenerali wenu wameuwawa. Mmepiga matofali sasa hivi unalialia etu wangetaka kupiga makazi na mahospitalini, wangewezaje wakati makombora yenyewe ni kama mafataki ya mwaka mpya. Hata kuua mbwa mmoja yameshindwa😂
  18. T14 Armata

    Kwanini Mandela anasifiwa wakati hakuwapa Uhuru Waafrika wa asili wa Afrika Kusini

    Hao wazungu wachache ndio wanamiliki ardhi na nafasi za ajira. Uliwahi ona Waafrika Kusini wanakimbia nchi yao kuja kuzamia Tanzania kutafuta ajira ambapo ardhi inamilikiwa na sisi wazawa tunaomiliki majaruba 20 kwenye kakipande huku tunatifua kwa jembe la mkono? Wabongo ndio wanakimbilia...
  19. T14 Armata

    Kwanini Mandela anasifiwa wakati hakuwapa Uhuru Waafrika wa asili wa Afrika Kusini

    Wajerumani wakiwa maelfu wachache miaka ya 1900s mwanzoni walijenga reli ya kati. Miaka 100 baadae wabongo tupo zaidi ya milioni 60 kujenga SGR hatuwezi mpaka waje Waturuki. Waingereza walitawala 24% ya dunia na hakuna nchi waliyotawala ilikuwa inapokea misaada. Wabongo tunajitawala wenyewe kwa...
  20. T14 Armata

    Kwanini Mandela anasifiwa wakati hakuwapa Uhuru Waafrika wa asili wa Afrika Kusini

    Utachagua moja; uwaache wazungu kwenye miundombinu, ajira, madini, kilimo, ulinzi, afya na huduma nyingine za jamii. Au ufukuze wazungu wote uwanyanganye mali zao. Aliyewaacha wazungu mfano ni South Africa na jirani yake Namibia. Aliyefukuza wazungu mfano ni Zimbabwe Kwa mbali mfano mwingine...
Back
Top Bottom