Mpira ni Biashara.
Timu kubwa ndiyo zinaingiza pesa nyingi TFF na Serikali kwa njia ya kodi.
Timu kubwa zinaibeba TFF kupitia njia ya mapato.
Malipo kwa Timu kubwa ni kubebwa kwa kupewa upendeleo ili TFF waendelee kupata pesa za kuendesha ligi.
Mchezaji kama Messi au Ronaldo hulindwa na marefa...
Ikifika jioni Binti anataka kutoka kwenda kustarehe.
Ikifika jioni mzee anatamani kwenda kulala na hata akijitahidi kutoka na Binti ataishia kwenda kusinzia.
Kimapenzi, huyu mzee amekuwa zero grazing wakati binti anaweza kutafuta malisho ya mbali.
Kifupi ni kuwa huyu mzee ametaka kufupisha...
Uongo au makosa ya mkubwa yana maana zaidi kuliko ukweli au usahihi wa mdogo.
The Boss is always right.
Kwa mantiki hii Mama Makinda anaweza kukosolewa na mtu wa haiba yake au zaidi ikaleta maana.
Aliyeleta mada hii tunaomba CV yake tafadhali vinginevyo hakuna sababu ya kuchangia.
Kamuulize mshikaji wako ambaye alikuwa anakupenda sana na ulimwahidi mambo makubwa lakini baadaye ukamtelekeza.
Hii ipo sana na inahusiana na nguvu za giza.
Kama Dr wa Binadamu hatagundua chochote basi umechezewa na wanawake unaotembea nao ovyo ovyo kwa kuwadanganya.
Mchezaji wa mpira, furaha yake ni kufunga magoli. Huyu anajipenda mwenyewe.
Furaha wa kiongozi wa dhehebu lolote la dini ni kupata waumini wengi. Huyu anawajali watu kama kipao mbele.
Furaha ya Daktari wa binadamu ni kuona mgonjwa wake anapoma. Huyu anamjali mtu.
Kicheko cha Mwanasheria ni...
You can build power generating dams, railway lines, bridges tarmac roads, big buildings etc.
But if you can not build peace and harmony those structures will be destroyed and demolished in a day by the same people you worked for them.
If what you are doing now will not be consistently applies...
Three enemies which make a person fail to control and practice the phenomenal mention.
1. Alcohol
2. Anger
3. Prestige.
These three things , in fact, destroy a human being completely regardless of obeying the factors mentioned.
Msukuma kwa asili anapenda sana wanawake, hasa weupe, wanene na warefu.
Wingi wa ng'ombe unaendana na rangi ya mwanamke.
Kwao msukuma kuzaa watoto wa kike wengi wazuri na weupe wa rangi ni utajiri.
Tukumpuke. Uchaguzi wa mwaka 2010, Mh. Kikwete alifanya kampeni za kuomba kura yeye na mke wake tu na alishinda. Mama Salma alikuwa vizuri sana katika kuomba kura kwa ajili ya mme wake.
Sasa tusimlinganishe Mke wa Tundu Lissu na Lissu mwenyewe bali tumlinganishe Mke wa Tundu Lissu na Mke wa...
Kuna wakati Hayati Mwalimu Nyerere alisema.
Mtu wa kawaida akimpiga mke wake si habari muhimu (not worth writing).
Lakini RAIS wa Inchi akimpiga mke wake ni habari (it is worth writing).
Viongozi wa juu wa Inchi kumsakama Lissu ni kumpa umaarufu Tanzania na Dunia kwa Ujumla (it worth writing)...
Jengo mahusiano mazuri na Binti ili akupende.
Wewe mwenyewe uwe na tabia njema.
Jitahidi kadri ya uwezo wako kumpatia binti mahitaji muhimu tu.
Usimuzoeze binti kumpa pesa nyingi.
Mfundishe binti muda mwingi kufanya kazi za nyumbani.
Mwepushe Binti na marafiki wa kike ambao ni Malaya.
Baada ya...
LOWASA tuliyemwona mwaka 2015 wakati wa uchaguzi siyo Lowasa wa 2005 wakati wa uchaguzi.
Baada ya uchaguzi wa 2005 aliteuliwa kuwa Waziri mkuu na akawa maarufu na wa kuogopwa ndani ya Serikali na ndani ya chama na hata bungeni. Akawa maarufu kuliko Rais hadi alIpopata ajali ya Kisiasa na...
Interlectual capacity, vast knowledge tactically and tentatively , Tanzanian come to concrete, definite and profound conclusion that, We are like Children who are being brought up under tough environment by hard working Dad for our future benefit.
Waheshimwa Wabunge, Mawaziri, Waziri Mkuu na...
Mnyonge tumnyonge lakini haki yake tumpe. Kulingana na taaluma yake kama Mwanasayansi, amefanya yale ambayo mwanasayansi anatakiwa kufanya. Siku zote Mwanasayansi anajali kujenga, kuunda, kugundua, kutafiti nk.
Haya ndiyo anayoyafanya. Mafanikio ya Mwanasayansi ni ya Vitu na si Watu. Lakini...
Overnight success comes after 15 years.
Lissu aliutafuta UBUNGE wa Singida Mashariki kwa miaka 15.
Kama atakuwa mvumilivu kama alivyokuwa mvumilivu kwenye kuutafuta ubunge, haitachukua zaidi ya awamu mbili kuupata urais.
Hayati mwalimu Nyerere aliwahi kusema huko nyuma.
"Jakaya Kikwete anafaa...
MO akitaka kubaki salama, aunde club yake na aendelee kuwa shabiki wa Simba.
Timu ya Simba ina mashabiki wengi wenye madaraka Serikalini.
Haingii akilini MO akiingia uwanjani akashangiliwa kuliko Rais ambaye naye ni shabiki wa Simba.
Mtawala huwa hapendi mwanainchi wa kawaida kuwa maarufu kuliko...
Botha, aliyekuwa rais wa Afrika Kusini,aliwahi kusema
' The most intelligent black African can not think beyond one year"
Mwafrika anapofikiri jambo anawaza matokeo ya papo kwa papo au anatafuta sifa za muda mfupi na kupigiwa makofi.
Falsafa ya Mwalimu Nyerere kuhusu Elimu ilikua bora sana na...
Ninavyozijua club za Simba na Yanga, Mwisho wa MO ndani ya CLUB ya Simba sio mzuri.
Pamoja na mema mengi aliyoyafanya ndani ya club lakini kuna siku watamtupia virago.
Muliize mzee Dalali.
Hizi Timu kamwe haitatokea zikamilikiwa na mtu kama ilivyo chama cha CCM.
Uundwaji wake na historia yake ni...
Tutafakari mfano wa Afrika Kusini na Chama cha ANC.
Je kilikuwa na pesa za kusimamia uchaguzi?
Je Makaburu hawakuiendeleza Afrika Kusini kuliko Tulivyoiendeleza Tanzania ndani ya miaka 5?
Je kila siku kumweleza Mwanainchi kuwa nimekufanyia jambo moja , mbili, tatu na kuendelea si Kumsimanga...
Raisi wetu amefanya mambo makubwa sana ndani ya muda mfupi kuliko Raisi yeyote aliyetawala Tanzania toka Uhuru.
Sasa ni kwa nini pengine Wanainchi hawana furaha kuliko kipindi cha Raisi Kikwete au Maraisi waliopita.
Kiongozi moja wa Dini, ambaye ni msomi aliyebobea alisema:
Pamoja na mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.