Search results

  1. carcinoma

    Nakumbuka ile siku askari wa JWTZ alipokula kichapo cha fedheha kutoka kwa aAkari wa Magereza

    Sema watu wanachanganya sana.. Kwani kuwa mwanajeshi ndio unakua unajua ngumi? Kwanza vita ya sasa hivi ukiona imefikia hatua ya watu kutumia ujuzi wa ngumi ujue kuna vitu haviko sawa kabisa. Siku hizi hata pande mbili zinazopigana hazionani sura kwa sura . Uwezo wa askari wa Jw kujua ngumi ni...
  2. carcinoma

    Wale wenye GPA kuanzia 2.1 mpaka 3.4 tukutane hapa tuyajenge hapa

    Wakati wenzenu wanaenda library nyie mko club mnakula ujana.
  3. carcinoma

    Kumbe korodani moja haizuii mwanaume kupata watoto. Nimeingia kwenye kulea watoto nje ya ndoa kwa kutojua

    Mkuu hivi dunia hii na utandawazi huu umeshindwa hata kugoogle ukaona kama korodani moja haiathiri uzazi wako? Dunia hii ya 2000+ ni ya mtu kuanza kusikiliza maneno ya watu wakati consultation kwa daktari ni kama 5000 tu na daktari bingwa ni kama 15k hadi 25k.? Sasa illiteracy yako inakukost ...
  4. carcinoma

    Mwanaume auliwa kwa kukatwa mapanga nyumbani kwa mpenzi wake, yadaiwa alikuwa akitembea na mke wa mtu

    Kweli kabisa.. na ndoa zinauma sana.. acha nikae mbali sana.. maana hii trend ya watu kuuana isijenifikia na mimi
  5. carcinoma

    Mwanaume auliwa kwa kukatwa mapanga nyumbani kwa mpenzi wake, yadaiwa alikuwa akitembea na mke wa mtu

    Duh juzi kati tu nilikua nachakata mbususu ya mke wa mtu alieachika siku 3 zilizopita. Naacha huu ujinga na huyu dem nafuta namba kabisa.
  6. carcinoma

    Mke kamkimbia jamaa yangu

    Mwambie huyo jamaa kwamba, dem ana jamaa mwingine ndio maana kaanza visa. Na possibly huyo dada alishaanza ku regret kuolewa wakati bado yuko kwemye peak. Anaona ndoa inambana ndio maana analeta vi sababu vya kiwaki.
  7. carcinoma

    Mkazi wa Maswa Akutwa na nyeti tano za wanawake

    Mimi naomba nielewshwe kwanza. Hivi nyeti za mwanamke unazikataje? Mwenye picha ikiwa imekatwa nitashukuru.
  8. carcinoma

    Mkazi wa Maswa Akutwa na nyeti tano za wanawake

    Weka picha mkuu. Nyeti za wanawake unaweza kuzikataje? Au mimi ndio sielewi nyeti ni nini?
  9. carcinoma

    Tanganyika hatuna chetu kwenye mapato na usimamizi wa utalii Zanzibar, hili swala la Mnaijeria linakuwaje la muungano?

    Sisi tunapenda vita tu.. hata kama haituhusu wazenji ni ndugu zetu.
  10. carcinoma

    Je, ni Salama kuzima friji kwa siku kadhaa kama halitumiki?

    Mimi huwa kwa masaa 24 naliwasha masaa 12 kila siku na ninalizima masaa 12.. huu mwaka wa 1.5 na liko poa tu
  11. carcinoma

    Nimetapeliwa elfu hamsini (50,000/-)na huyu dada tuliyeheshimiana sana, nimfanye nini?

    Tulishasema USIMKOPE HELA MWANAMKE . Either unampa bure au unamnyima. Haya mambo ya kukopana acha wakopane wao kwa wao. Huwa wanajua jinsi ya kudaiana vizuri.
  12. carcinoma

    Kambi za Jeshi Tanzania zina vizuizi vya kuzuia picha zipigwazo na satelite?

    Kwa wenye resources za kutosha wanachukua vizuri tu.. hata mimi na kagoogle map kangu naizoom kambi yoyote vizuri tu. .
  13. carcinoma

    Kaniahidi na kujiapiza kuwa nikimuacha anajiua

    Personally siwezi kudate na mtu anayetaka kujiua. Kama unaweza kukatisha maisha yako mwenyewe unashindwa nini kuniua nikukuudhi siku moja? Hao watu wenye suicidal ideas wanatakiwa kuwa Mirembe wanatibiwa sio kuwa kwenye mahusiano.. siku utatolewa roho wewe halafu utakuja kutuma mrejesho kutoka...
  14. carcinoma

    Mbwana Samatta alivyoruka viunzi vya Wadada wa Bongo na Wazungu

    Mimi nikiwa star aiseeh kuoa kutasubiri sana.. nitakula watoto hao wa insta na bongo movie kama nini
  15. carcinoma

    Tuliowahi kugonganisha "magari", ulichezaje kutatua msala?

    Ulimfanya nini huyo mpangaji? Maana mimi nisingemuacha aiseeh
  16. carcinoma

    Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

    Mimi sijali kama huyo GSM ni msafi au sio msafi .. ninachotaka ni makonda alipe kwa ushenzi aliofanya.. kuanzia kumpiga kofi mzee wetu Walioba hadi kuvamia studio za Clouds.. Hata kama atalipa kwa kosa ambalo hajafanya lakini alipe tu. Ili iwe fundisho kwa watu waliopo kwenye uongozi au...
  17. carcinoma

    Tuliowahi kugonganisha "magari", ulichezaje kutatua msala?

    Huyo dreva boda boda ni fala sana.. inawezekana ndio snitch wako aliemwambia mama watoto una dem mwingine ndani
  18. carcinoma

    Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

    Watoto wa marehemu wameanza kuteswa.. anyway yatima hadeki. Na bado tunasubiri mwenye jina lake aje kulidai ili abaki kiwa Bashite.
  19. carcinoma

    Kwanini nchi changa 'wanaufyata' kutupia neno mzozo wa Russia-Ukraine?

    Africa kwa nini tukemee? Kwanza naona yanayotokea huko kama ni Karma inalipa.. sisi mbona tunauana kila siku na hakuna anayejali? Na wao kama wameamua kuuana acha wauane. Tena NATO wafanye waingilie hio vita ili moto uwake Europe yote iwe kama Libya .. watoto wao na wanawake wao wafe kama Congo...
Back
Top Bottom