Search results

  1. MR RAY

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Habari DART, BINAFSI LEO NILIKUWA NATAKA KUANDIKA UJUMBE MKUBWA SANA JUU YENU. Kabla sijafanya hivyo ndio nimekutana na account yenu hapa. Binafsi ninayo yafatayo juu ya huduma zenu. MIMI NAISHI MIKOANI ILA NIMEKUWA NIKIJA SANA DAR ES SALAAM MARA KWA MARA. Kwa kipindi cha mwezi 7,8,9 mwaka...
  2. MR RAY

    Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa Watanzania

    Group la whatsapp la wamiliki wa Mitsubishi outlander Tanzania Link hii https://chat.whatsapp.com/BqIFt5TKMI85o7CVxUabMY
  3. MR RAY

    Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa Watanzania

    Hahaaaaaa. Unajuwa jana nimeona jamaa mmoja anatangaza kwa mbwembwe kweli juu ya kifaa cha kubadili umeme wa gari kwenda ac yaani inverter. Wakati kwenye outlander hii ni kitu ipo tena og kutoka Japan. Sijui Changamoto kwetu iko wapi.
  4. MR RAY

    Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa Watanzania

    Nimekuelewa mkuu sema nilikuwa ninajibu mtu mwingine juu kumbe nime quote kwenye comment yako. Pole sana. Kwa sasa sijafutilia bei ya Okm hiyo ya 2020 au 2022.nitaifutilia kwenye soko lake. Nakukujuza tena
  5. MR RAY

    Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa Watanzania

    Kama wabongo tungekuwa tunatoa taarifa sahihi ingekuwa jambo zuri sana. Mtu unakuta anaongea kaneno kamoja tu mara janja janja,,, tujitahidi vijana tubadili mitazamo yetu. Tuwe kama vijana wa nnchi zilizo endelea. Mind set ya kulalamika na kuleta mizaha, kuongea kitu usichokua na uhakika ili...
  6. MR RAY

    Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa Watanzania

    Hahhaa. Hii ni gari wazee. Mie ninawatu zaidi ya ishirini wanayo ni gari. Achana na watu wanaoibuka na sentesi moja ya kukatisha watu tamaa. This is one of the best car ever.
  7. MR RAY

    Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa Watanzania

    Maneno mazuri ila mwishoni umepoteza point. Labda ungesema ya mwishoni tu ukafuta ya mwanzo
  8. MR RAY

    Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa Watanzania

    Hahaha acha kuwaogopesha watu, hizi gari ziko vizuri sana. Nitawaletea Changamoto zake ambazo ni common, ila kwa kutumia kama hutaki kwenda garage kila mara kama toyota hizi ni gari ngumu mno. Tofauti kabisa na toyota. Tujitahidi kuleta taarifa za uhakika kutoka kwa watumiaji. Ili watu wapate...
  9. MR RAY

    Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa Watanzania

    Gari nzuri zisizoongelewa sana na wabongo Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana, ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa watanzania. Gari hizi zina vitu vingi sana ambapo gari nyingine kama Toyota huwezi pata hasa ukilinganisha bei yake. Mitsubishi outlander...
  10. MR RAY

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Naamini anaweza ni kazi rahisi. Kikubwa muda tu. Si kazi ngumu kabisa ni Nyepesi sana, inayohitaji muda mwingi. Hivyo anaweza akitenga muda
Back
Top Bottom