Hum B
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,030
- 1,433
X3 ni gari na nusuAtafute BMW X3i
X3 ni gari na nusuAtafute BMW X3i
Mitsubishi yoyote unaponunua usisahau kununua na NOTEBOOK Kwa ajili ya kutunza namba za Mafundi gereji. Kuhusu rangi (WHITE) Ni cheap zaidiHiv rangi ya gari pia huwa ina determine price? kama ndivyo rangi zipi ni bei ghali zaid?
Wenye mitsubishi zao naomba ushuhuda hapa.Mitsubishi yoyote unaponunua usisahau kununua na NOTEBOOK Kwa ajili ya kutunza namba za Mafundi gereji. Kuhusu rangi (WHITE) Ni cheap zaidi
Wenye mitsubishi zao naomba ushuhuda hapa.
Fool of allMitsubishi yoyote unaponunua usisahau kununua na NOTEBOOK Kwa ajili ya kutunza namba za Mafundi gereji. Kuhusu rangi (WHITE) Ni cheap zaidi
Sio kweli MkuuMitsubishi yoyote unaponunua usisahau kununua na NOTEBOOK Kwa ajili ya kutunza namba za Mafundi gereji. Kuhusu rangi (WHITE) Ni cheap zaidi
Kuna muda issue ya gari naona ni mambo kama ma 4 hivi kabla hujalaumu gari fulani ni mbovu.Sio kweli Mkuu
Nina miezi 13 sasa tangu nianze kuitumia, nikienda garage huwa ni kufanya service ya kawaida ya kubadiri oil tu
Hana lolote huyo mpuuzieWenye mitsubishi zao naomba ushuhuda hapa.
Upo sahihi MkuuKuna muda issue ya gari naona ni mambo kama ma 4 hivi kabla hujalaumu gari fulani ni mbovu.
1. Matumizi ya gari yako (unaendasha offroad sana au la, au distance unyoendesha daily. Mfn mtu anakaaa upanga anaenda kazini posta daily Na mtu anayetoka bunju ndani ndani na kwenda kazin posta daily matumiz ya chombo ya mtu wa bunju yatahitaji more care.
2.service ya gari yako spare OG na sahihi especially lubricants(kila unachotumia kifuate manufacturer recommendation sio fundi maiko kasema nini.
3.Gari ulinunua ikiwa na condition gan? Kama ulibambikiwa itabid upambane na hali.
4. Bongo kuna muda baadhi ya mafundi wanatuangusha. Kitu ambacho ungefix mara moja baada ya kujua tatizo lake kwa fundi wako anazingua na unakirudia kufix kwa mafundi wengine ambapo unakuta fundi wa mara ya tatu au nne ndo anajua tatizo halisi. So hao wengine walioshindwa kufix wanabaki tu kusema gari flan mbovu usinunue.
e.t.c
Unyama mwingiGari nzuri zisizoongelewa sana na wabongo
Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana, ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa watanzania.
Gari hizi zinavitu vingi sana ambapo gari nyingine kama Toyota huwezi pata hasa ukilinganisha bei yake.
Mitsubishi outlander 2006 - 2015
1.Ni gari inakuja na charging system ya laptop, yaani unaweza kuchomeka switch sockate na ukaweka charger yako vizuri... Kwa kifupi
Gari hili linabadili umeme wa dc kwenda ac.
Kwa watu wanaopenda kutumia laptop wakiwa safari hii gari unaweza kutumia laptop toka Dar mpaka Mwanza, bila kuizima unafanya kazi tu au unaangalia series.
2.Gari hii inakuja na kifridge kidogo kuweka vivywaji uwapo safarini.
3.Gari hii ina option ya 4WD
4.Gari hii inakuambia muda wa kupumzika ukichoka safarini.
5. Gari hii inakuja na mziki mziti yaani subwoofer isiyojaza buti.
6.Gari inakuja na seat 7.
7.Gari hii ina option ya manual na automatic.
8. GARI hii ina gear 6, inaifanya itumie mafuta kidogo.
Hii gari bei yake ipo chini ya kina harrier, kulger na Vanguard. Kitu ambacho hivi vitu vyote vingekuwa kwenye hizo gari bei zake zisinge shikika.
Umeongea ukweli.. Kitu kingine wabongo tunataka gari lisichoke milele kama vile roho au coral paint alitumia babu mpaka mjukuuKuna muda issue ya gari naona ni mambo kama ma 4 hivi kabla hujalaumu gari fulani ni mbovu.
1. Matumizi ya gari yako (unaendasha offroad sana au la, au distance unyoendesha daily. Mfn mtu anakaaa upanga anaenda kazini posta daily Na mtu anayetoka bunju ndani ndani na kwenda kazin posta daily matumiz ya chombo ya mtu wa bunju yatahitaji more care.
2.service ya gari yako spare OG na sahihi especially lubricants(kila unachotumia kifuate manufacturer recommendation sio fundi maiko kasema nini.
3.Gari ulinunua ikiwa na condition gan? Kama ulibambikiwa itabid upambane na hali.
4. Bongo kuna muda baadhi ya mafundi wanatuangusha. Kitu ambacho ungefix mara moja baada ya kujua tatizo lake kwa fundi wako anazingua na unakirudia kufix kwa mafundi wengine ambapo unakuta fundi wa mara ya tatu au nne ndo anajua tatizo halisi. So hao wengine walioshindwa kufix wanabaki tu kusema gari flan mbovu usinunue.
e.t.c
Karibu tukuunge kwenye group la wamiliki wa OutlanderHii chuma inatua next month ipo kwenye maji sasa hivi ila bado ninahitaji ku ingage na wazoefu wa hizi vyuma wanielekeze mitaa mizuri ambayo wao huwa wanapeleka kuzipiga spana incase ikitokea tatizo.
Natanguliza shukrani
Karibu tukuunge kwenye group la wamiliki wa Outlander
Link mbona haifunguki mkuu RayGroup la whatsapp la wamiliki wa Mitsubishi outlander Tanzania
Link hii