Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,324
- 7,749
Nikazie hapo kwenye kuvibrate dashboard, kuna siku nilichukua cariana Ti ya jamaa aisee ile kuwasha vibration niliyokutana nayo ni kubwa nikawa najiuliza mbona Mitsubishi Outlander haivaibrate?Tatizo letu Watanzania tunajifanya tunajua kila kitu, hakuna gari iko comfortable kama hiyo! Achana na toyota zinazovibrate dashboard! Unaweza kuta mtu hapa anachangia kwamba sio gari nzuri wakati hakuwahi kumiliki hata boxer pikipiki!!
Sure thing unapata discount nzuri tu, na ni kweli docs wanazituma Mighty Investment Company dar na agent wako anazichukulia hapo kuprocess gari bandarini. Isitoshe jamaa wana customer care ya kuridhisha tangu mwanzo hadi unachukua gari yakoHata mimi nishaagiza mara mbili moja kwa moja. Document ndo walituma kwenye office za Dar. Na walinipa discount kutoka kwenye bei ile unayoona mtandaoni
Ground clearance yake ni kubwa isitoshe hata kwenye rough road unatembea vizuri tu, kwenye mafuta ukitaka uifaidi vizuri na isikupasue wallet yako sana pendelea kujaza full tank naweza sema ulaji wake mafuta utaupenda zaidi kwenye high way.So kwa matumizi ya rough road mara kwa mara inahimiri kumbe?
Hii SUV inavutia sana kimuonekano, ipo kibabe sana!
-Kaveli-
Mkuu we acha tu wabongo tuna mambo sanaOutlander hapa ili buniwa vilivyo,imekaa kibabe zaidiView attachment 2376510
Halafu Kuna wachawi Wachache
Wanaponda kutokea kusikojilikana
View attachment 2376509
Mkuu kuna hii Outlander PHEV, vipi hii tofauti yake na Common Outlander?? Details please.Ground clearance yake ni kubwa isitoshe hata kwenye rough road unatembea vizuri tu, kwenye mafuta ukitaka uifaidi vizuri na isikupasue wallet yako sana pendelea kujaza full tank naweza sema ulaji wake mafuta utaupenda zaidi kwenye high way.
Mimi ninayo na naitumia kwenye harakati zangu iwe ni kwenye rough road au town, mwisho kabisa mnyama anajitahidi kufunguka sio poa.
Price yake hii imekaa ya 2020 na 2022 0kmMkuu kuna hii Outlander PHEV, vipi hii tofauti yake na Common Outlander?? Details please.
Je ninnzuri kibongobongo??
Nimelitamani dude hilo, Mungu akijalia kabla mwaka haujaisha nichukue.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kama wabongo tungekuwa tunatoa taarifa sahihi ingekuwa jambo zuri sana.Price yake hii imekaa ya 2020 na 2022 0km
Hapana, nimeona CIF ni $13,800Price yake hii imekaa ya 2020 na 2022 0km
Sijajua umenielewa au umelielewa vipi swali langu, ila nilitaka nijue bei ya hizo hybrid zake, tofauti na be forward ambako sina uzoefu uo wa kuchagua magari, moja ya 2020 na nyingine ya 2022 ambayo ni 0Km.Kama wabongo tungekuwa tunatoa taarifa sahihi ingekuwa jambo zuri sana.
Mtu unakuta anaongea kaneno kamoja tu mara janja janja,,, tujitahidi vijana tubadili mitazamo yetu. Tuwe kama vijana wa nnchi zilizo endelea.
Mind set ya kulalamika na kuleta mizaha, kuongea kitu usichokua na uhakika ili kukatisha watu tamaa zinaboa na kurudisha maendeleo sana.
Katika uzi huu niliouleta nashukuru wengi wameongea mengi mazuri, ila watu wawili au watatu, ndio wamekuja kuleta.na vijicomment vya maneno matatu ya kukatisha tamaa. Inasikitasha sana. Kama unaishu unayoijua juu ya uzi hii kiwa gari hizo sio basi tunaomba uelezee kwa kina, naamini vijana mkiwa hivi mtabadili sana mambo mengi ndani ya nnchi yetu na kuaminika.
Kuhusu PHEV Mistubish Outlander
Hii ni gari ya siku zijazo, hasa kwa technolojia inayokuja, hivyo ni gari zuri sana. Dunia inaelekea kwenye nishati mbadala. Hivyo ukiweza kuchukua hiyo ni njema mno.
hiyo gari ina mziki mzito balaaa, ina inbuilt subwoofer kwenye but ya nyuma brand ya Rockford footage inch 8"
Nimekuelewa mkuu sema nilikuwa ninajibu mtu mwingine juu kumbe nime quote kwenye comment yako. Pole sana. Kwa sasa sijafutilia bei ya Okm hiyo ya 2020 au 2022.nitaifutilia kwenye soko lake. Nakukujuza tenaSijajua umenielewa au umelielewa vipi swali langu, ila nilitaka nijue bei ya hizo hybrid zake, tofauti na be forward ambako sina uzoefu uo wa kuchagua magari, moja ya 2020 na nyingine ya 2022 ambayo ni 0Km.
FreshNimekuelewa mkuu sema nilikuwa ninajibu mtu mwingine juu kumbe nime quote kwenye comment yako. Pole sana. Kwa sasa sijafutilia bei ya Okm hiyo ya 2020 au 2022.nitaifutilia kwenye soko lake. Nakukujuza tena
Kapicha mkuu....Gari nzuri zisizoongelewa sana na wabongo
Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana, ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa watanzania.
Gari hizi zinavitu vingi sana ambapo gari nyingine kama Toyota huwezi pata hasa ukilinganisha bei yake.
Mitsubishi outlander 2006 - 2015
1.Ni gari inakuja na charging system ya laptop, yaani unaweza kuchomeka switch sockate na ukaweka charger yako vizuri... Kwa kifupi
Gari hili linabadili umeme wa dc kwenda ac.
Kwa watu wanaopenda kutumia laptop wakiwa safari hii gari unaweza kutumia laptop toka Dar mpaka Mwanza, bila kuizima unafanya kazi tu au unaangalia series.
2.Gari hii inakuja na kifridge kidogo kuweka vivywaji uwapo safarini.
3.Gari hii ina option ya 4WD
4.Gari hii inakuambia muda wa kupumzika ukichoka safarini.
5. Gari hii inakuja na mziki mziti yaani subwoofer isiyojaza buti.
6.Gari inakuja na seat 7.
7.Gari hii ina option ya manual na automatic.
8. GARI hii ina gear 6, inaifanya itumie mafuta kidogo.
Hii gari bei yake ipo chini ya kina harrier, kulger na Vanguard. Kitu ambacho hivi vitu vyote vingekuwa kwenye hizo gari bei zake zisinge shikika.
Mkuu nilichelewa kuona notification, kimsingi tofauti kuu nayoiona ni muonekano wa body na show ya mbele engine ni ile ile. Lakini pia PHEV kwa ndani iko tofauti na Outlander ya kawaida, kwa maoni yangu PHEV imekaa kibabe zaidi.Mkuu kuna hii Outlander PHEV, vipi hii tofauti yake na Common Outlander?? Details please.
Je ninnzuri kibongobongo??
Nimelitamani dude hilo, Mungu akijalia kabla mwaka haujaisha nichukue.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Na Mimi ndio namshangaa , mitsubish pajero ni gari ambayo nimekuwa nayo Kwa miaka 10+ sasa na sijawahi kupata matatizo makubwa ya kwenda gereji tofauti na services za kawaida ambazo kila Aina ya gari inapataWe jamaa acha uchawi.
Mimi nina Mitsubish na gereji hawanijui.
Zaidi ni service za kumwaga oil na service za tairi.
Ni gari ngumu mno.
Walekalili Toyota , Tanzania kuna " Toyota syndrome " na kufanya vitu Kwa kuigana , wakati Hiyo Outlander bonge la gari utakuta jitu mpaka litembee na kibaby walker linaridhika ,akili za kikapukuWauza kahawa ndio wajuaji zaidi wa kila kitu hasa magari
Hahaaaaaa.Walekalili Toyota , Tanzania kuna " Toyota syndrome " na kufanya vitu Kwa kuigana , wakati Hiyo Outlander bonge la gari utakuta jitu mpaka litembee na kibaby walker linaridhika ,akili za kikapuku