Search results

  1. mulwanaka

    Ofisi ya Kata wanashirikiana na baba yangu mzazi kuninyima haki yangu ya mali

    Hivi wewe akili yako inafanya kazi au mimi ndo nimekisea kukuelewa una miaka 42, unalilia hivi duh!!!!!!!
  2. mulwanaka

    Shule ya Msingi Olympio inayomilikiwa na Serikali yarudisha nyumbani wanafunzi wasiolipa ada

    Mkuu ujamaa uli tu athiri sana, kuja kumaliza kizazi cha ujamaa itachukua mda sijui Mwalimu aliwaza nini kuanzisha huo ujamaa
  3. mulwanaka

    Shule ya Msingi Olympio inayomilikiwa na Serikali yarudisha nyumbani wanafunzi wasiolipa ada

    Hapo itakua serikali ina tegeneza matabaka katika elimu kwanini isi boreshe shule zote, na kiingereza iwe meadiam of instruction, kiswahili liwe soma kama mengine, wakati uwezo serikali inao.
  4. mulwanaka

    Huyu mwanangu wa ujanani nimfanye nini ili awe kama wenzie?

    Ahsante nahitaji mbinu pia kumdhibiti mapema pia mkuu kabla ya kuenda police
  5. mulwanaka

    Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

    Wahaya hawapendani, sehemu yoyote esie karibisha wageni, na imeja wivu na fitina miongoni mwao haiwezi kupata maendeleo, walio endeleza dar sio wenyeji
  6. mulwanaka

    Huyu mwanangu wa ujanani nimfanye nini ili awe kama wenzie?

    Ahsante kwa mchango hu, hata shuleni alisha wahi kuwaibia wenzie akiwa f2........ntafuatilia aina ya marafiki zake nione ni wa aina gani
  7. mulwanaka

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sijui kwanini sie ma shabiki na wapenzi wa Chelsea tukifungwa hata mechi moja tuna changanyikiwa, akili zetu zina badilika unaweza kulinganisha keppa na mendy, huyu keppa anaepoteza mpira kizembe pass tu huwezi, ile gori angekua makini angelisave kwanini hakudaivi kufuata ule mpira, mendy iko...
  8. mulwanaka

    Huyu mwanangu wa ujanani nimfanye nini ili awe kama wenzie?

    Hatikumpa nilikua safari bibi yake akanipigia simu kunieleza yote hayo na jitihada zake nilikatisha safari nilikua sijafika mbali nilimtandika kweli na sikumpa chochote hata siku ya parenta vistation sikuenda kumuona nilienda siku nyingine tofauti, kuongea na waalimu na kukagua maendeleo yake ya...
  9. mulwanaka

    Huyu mwanangu wa ujanani nimfanye nini ili awe kama wenzie?

    Mkuu kwani kila mtu lazima aweze math, nilisema mosomo yote anafaulu kwa average ya c na kuendelea isipo kua math tu. na sie nguvu za kufaulu hesabu tume muongezea tu hatuja ridhika bado na hilo somo
  10. mulwanaka

    Urefu wa kamba yako ni mshahara wako na stahiki nyingine kisheria. Msimlishe maneno Rais Samia

    Hata yesu mwenyewe kuna vitu hakuelewaka kabisa, kama kile kitendo cha kuosha demu magdalena miguu yake ulimwelewa lengo lake?
  11. mulwanaka

    Nikajua kujitolea ndio kuzingatiwa kupata ajira

    Sasa hapo ueleweki unasema kujitolea ni kujitolea tu hata uzigatiwi kupewa ajira, tena hapo hapo unahimiza vijana kujitolea.
  12. mulwanaka

    Huyu mwanangu wa ujanani nimfanye nini ili awe kama wenzie?

    Usije kudharau mtu anae tishia kujiua ni hatari anaweza akafanya lolote, na utausishwa na kifo chake ulikua unapaswa kupeleka taarifa kituo cha police kilochopo karibu.
  13. mulwanaka

    Huyu mwanangu wa ujanani nimfanye nini ili awe kama wenzie?

    Kipigo cha mtt ili kupata sifa, unaweza ukajikuta uko jela bila kutegemea tuhuma mauaji
  14. mulwanaka

    Huyu mwanangu wa ujanani nimfanye nini ili awe kama wenzie?

    Hapana mkuu mimi sio mwizi na pia nachukia sana wizi na kusema uongo hata zikiwa mali za umma au za kampuni, wa zazi wangu wote ni watu walioshika dini sana sisi hatujalelewa katika maisha ya ujanjaujanja, sijui huyu mtoto vinasaba vya wizi kavitoa wapi
  15. mulwanaka

    Huyu mwanangu wa ujanani nimfanye nini ili awe kama wenzie?

    Hapana mkuu yule mtt ni wa kwangu ni copyrite na wadogo zake kwa asilimia kubwa, tena huyu mama ake hakua na tabia ya kuchochora.
  16. mulwanaka

    Huyu mwanangu wa ujanani nimfanye nini ili awe kama wenzie?

    Shuleni ana perform vizuri tu masomo yote anapata average ya c isipokua hesabati tu ndo anapata F.
  17. mulwanaka

    Huyu mwanangu wa ujanani nimfanye nini ili awe kama wenzie?

    Nilimtoa kwa mama ake tayari alikua kasha pata hizo tabia zake hizo.
  18. mulwanaka

    Huyu mwanangu wa ujanani nimfanye nini ili awe kama wenzie?

    Hapana sio kweli mimi ndo nilimuelezea wakati yeye anakata baada ya kudokowa vicenti vyangu kwenye gari langu yeye ame amini baada ya kumpiga za atm [emoji763]
  19. mulwanaka

    Huyu mwanangu wa ujanani nimfanye nini ili awe kama wenzie?

    Hiyo ni adhabu kubwa kwa mtoto wa umri wake kule jela kuna tabia mbaya nyingi pia utamaduni wa kiafrica kumfunga mwanao jela ni mkosi , pia sijui wajomba zake watanielewa je.
Back
Top Bottom