Search results

  1. deojames

    Network ya 5G kwa Vodacom na TIGO

    Kweli hapo bando ni balaa yani hiyo test tu imekulamba 400mb+ duhh!🤣🥺
  2. deojames

    Equatorial Guinea: Teodoro Nguema ashinda tena Urais kwa mara ya 6

    Hapa naungana na yule mdau aliyesema utajiri wa nchi si rasilimali bali ni akili
  3. deojames

    Nyamongo kulikuwa na mwamba anaitwa Kenonke, historia yake inamfanya Jombi aonekane Mtoto mzuri

    Umenikumbusha jombi enzi hizo alikuwa anatikisa sana huku mbeya niiikuwa nasikia kuwa alikuwa anatoa taarifa kabla ya tukio sasa sijui ilikuwa kweli au ni stori za kizushi
  4. deojames

    SIMULIZI: Mchungaji Mchawi (01)

    Jamaa naona kalala mbele
  5. deojames

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Naona kiherehere cha mama mdogo kitakuwa kimekoma😂😂
  6. deojames

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Nadhani ni 2004/2005 final. Refa alituua sana ile game
  7. deojames

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Ulichokitafuta umughaka utakipata😂😂. Subiri baba mdogo arudi
  8. deojames

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Mwaka huo nakumbuka shule songea tulikuwa tunanunua sahani ya wali tsh. 100 na unapewa na ofa ya chai baadhi ya mgahawa. Nadhani itakuwa ndio hiyo😂😂
  9. deojames

    Mapinduzi ya Kijeshi yatokea nchini Burkina Faso

    Mojawapo ya viongozi wazalendo wa africa. Tungekuwa nao kama hao bara letu lingefika pazuri
  10. deojames

    Waliofariki kwa Ebola wafika 23, mgomo wa madaktari waungwa mkono

    Hii ebola kwani hainaga chanjo au tiba mpaka sikuizi?
  11. deojames

    Gavana BOT aagiza benki zipunguze masharti ya mikopo na riba

    Hapo kwenye gawio mbona sijampata vizuri! Benki isipo toa gawio si ndio itafaidika zaidi? Au alikuwa anamaanisha haitapewa gawio?
  12. deojames

    #COVID19 Wafanyakazi watatu wa CNN wafukuzwa kazi kwa kufika Ofisini bila kupata Chanjo ya Covid-19

    Kazi zinasheria zake lazima ufuate. Kwa mfano viwanda vya chakula haitakiwi mtu aliyena magonjwa kama typhoid, amoeba etc, kufanya kazi mpaka atakapotibiwa ndio maana kunakuwa na taratibu za kuwapima Wafanyakazi kila mda. Na hiyo ni standard ya food safety.
  13. deojames

    MSAADA: Nahitaji flash file ya TIGO smart kitochi

    :rolleyes::rolleyes::rolleyes: hapo naona firmware itakuwa folder la t-smart hayo mengine sio. capacity ya simu inaendana na firmware size yake, kaiOS ni lightweight OS na hata apps zake ni ndogo sana less than 5mb, sasa ukiniambia hizo gb karibia mbili hata kwa fimbo siwezi amini.
  14. deojames

    Zuku wapo vizuri? Nataka ninunue zuku msaada tafadhali

    Hapo sio kweli. Zuku ina option ya kusearch FTA (Free to Air) channels. Hata usipolipa hizo FTA zipo japo si za bongo lakini atleast unaweza papasa macho. Channel kama DW, france 24, nhk, RT etc huwa zipo uanona bure. Ila kwa channel za bongo hao wana TBC tu na labda zile za sinema.
  15. deojames

    MSAADA: Nahitaji flash file ya TIGO smart kitochi

    [emoji2][emoji2]kisimu kama kile hakiwezi kuwa na file kubwa hivyo storage yake yenyewe ni 4GB. Hilo file ni la virtual machine ya linux (based on its name) jamaa anakuingiza kingi.
  16. deojames

    Naomba kujulishwa kampuni bora ya vifaa vya solar kama vile solar panel, battery n.k.

    Pia kuna watu wa zola naona nao wapo vizuri. Na wana option ya kukopesha ukawa unalipa kidogo kidogo.
  17. deojames

    Maana ya Katiba ya Kidemokrasia

    Sio kwa bunge hili, inaweza kuwa mbovu kuliko.
  18. deojames

    Msaada kuhusu window 11

    Ngoja tuone isije kuwa windows vista 2.0[emoji3][emoji3]
  19. deojames

    Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Uchaguzi Mkuu wa 2020 CHADEMA hatukuwa na wagombea sahihi

    Lete ushahidi wa video sio kututungia tu hiyo habari
Back
Top Bottom