Search results

  1. Caroline Hans

    Hivi hili tangazo la ACACIA mnalielewa?

    Kila nikifikiria ile ripoti ya Makontena ya Mchanga iliyowasilishwa juzi hata matangazo yao siyaelewi!! Hili ni moja ya tangazo linalovuma kwenye baadhi ya vyombo vya habari likieleza kwamba nchi yenye maendeleo ni ile inayotengeneza nafasi za ajira, na kwamba mgodi wa ACACIA kwa kila muajiriwa...
  2. Caroline Hans

    NEC yatangaza nafasi wazi ya kiti cha mbunge wa viti maalum Chadema marehemu Dr eEly Marko Macha

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuwepo kwa nafasi wazi ya Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA, kufuatia kifo cha Mbunge wa Viti Maalum wa chama hicho Mhe. Dr. Elly Marko Macha aliyefariki tarehe 31 Machi 2017. Akitoa taarifa ya nafasi hiyo...
  3. Caroline Hans

    Kiti cha mbunge wa viti maalum CHADEMA Mh Dr. Elly Marko Macha - NEC

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuwepo kwa nafasi wazi ya Mbunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA, kufuatia kifo cha Mbunge wa Viti Maalum wa chama hicho Mhe. Dr. Elly Marko Macha aliyefariki tarehe 31 Machi 2017. Akitoa taarifa ya nafasi hiyo...
  4. Caroline Hans

    Kuna ukweli wowote kwenye katuni hii

    Katika pitapita zangu nimekutana na Katuni hii ya watu wawili wakijadiliana kuhusu ugumu wa maisha huku mmoja akionekana kuunga mkono wazo la mwenzake!
  5. Caroline Hans

    Huu ndio msaada kwa anayeulizia Cheti cha mwenzie!!!

    Ni kitambo sasa kumekua na kelele za kuulizia cheti cha mtu anayeitwa Bashite as if wanaoulizia walimlipia ada wakati anasoma au walikilipia kule NECTA. Tusipoteze muda jamani ili uweze kuona cheti cha mwenzako sharti ulete chako kwanza!! Narudia tena Kabla ya kudai cheti cha mwenzio unatakiwa...
  6. Caroline Hans

    Nape Nnauye: CCM ni chama bora, siwezi kuhama!

    Akizungumza na Waziri Mwakyembe na watendaji wengine mjini Dodoma wakati akikabidhi Ofisi kwa Waziri mpya, Nape amesema, "Kwanza sina kinyongo na Rais na ningeomba watu wasinilishe maneno wala kufanya assumption zao. I am stronger than they think, nimelelewa humu ndani na ninazijua ups and...
  7. Caroline Hans

    Huu ndio Ukweli, Asante Rais Rais Magufuli!

    Kwa hotuba hii ya Rais Mhe. John Pombe Magufuli juu ya watu wazuri kupingwa na kupigiwa kelele akitoa mfano wa RC Makonda na Prof. Muhongo mimi namuunga mkono 100%
  8. Caroline Hans

    Ufisadi unaofanywa na Baadhi ya Watumishi Hospitali ya Kibondo unaichonganisha Serikali na Wananchi

    Kama tunavyofahamu Serikali ya Awamu ya Tano imekua ikipambana na wezi wa mapato ya Serikali na wahujumu uchumi katika ngazi mbalimbali kwa nguvu zote. Hatua ya kuamua mapato ya Serikali yakusanywe kielektroniki ililenga kuongeza mapato na kuziba mianya yote ya ubadhirifu. Jambo hili limekua...
  9. Caroline Hans

    Tanzania yenye neema inaendelea kuchongwa na Mungu

    Namshukuru Mungu kuzaliwa Tanzania, haya tunayoyashuhudia sasa vita ya Rushwa, Ufisadi, Madawa ya Kulevya, uonevu, Haki za wanyonge kukaliwa na kuporwa hivi hivi ni sehemu tu ya ujenzi wa Tanzania mpya isiyo na bugudha wala mawaa! Kila uchafu na mambo yaliyotendeka sirini yanawekwa peupeee, ni...
Back
Top Bottom