Plzzzzzz plzzzzzz naomba kipengele ambacho wanahusika akina da vinci ukielezee vizuri mkuuu nimepata kitu ila sijakielewa bdo kwa ufasaha hapo unaposema kuna kikundi kimeingizwa kuleta mafundisho potofu namuons da vinci anaeteka ulimwengu kwa ustad wake mkuu kwa michoro ya monalisa vs last super
Kuna mengi ya siri ukiacha mbali upambanaji dhidi ya madawa..........yataibuka mengi sana.........amemwaga sumu kwenye shimo la nyoka kila aina ya nyoka watajitokeza kujinasua........vita hii sio kwa kutumia mabavu badala yake uchunguzi na upelelezi wa kina unahitajika. Maana unga sasa ni kama...
Atakuja kukusumbua sanz pamoja na kukuaminisha usiogope kwani ikiwafika shingoni wanafunguks tu ukweli so hama kabsa sjui sasa utaenda wap maana apa yenyewe nakuona ukiwa umeshalipa kod ys miez ya mbele sasa kutafuta room pengne ni .tiani
Kabla sijakoment nimefuatilia za wenzangu nikajua kweli vita ya imani ishindaniwe kiimani sio kimwili Mungu awasamehe....
Twaeni silaha zote za vita mpate kudhindana na adui.
Huyu mlevi wa mapenzu nae skendo zake tumezichoka kwann asitafte watt waliotulia mpaka achukue waliotumiwa mpaka Bongo ikawajua kwa kutumiwa au ndo ameanza mapenzi juz alivyokuwa na bibi yake
Ayse kweli yamekupanda kichwani mahaba mubashara ila sawa Hongera sana
Mungu awatangulie ktk maandalizi mema ya kufunga ndoa.
Note:
Mirejesho mingne inayoendelea plz usilete ili tubakie kuju kuwa bdo ndoa ni tam.
Asante.
Huyu nae anataka kujifanya Mungu nani anaweza kumuombea mwenzake kifo kikamfika isipokuwa mskusudi ya Muumba wake???????
Ila sawa tusifoc sana..Je? Wine sio pombe????
Hao TRA wamechoka maisha ya hapa duniani wataenda onja joto la kaburi mda s mref yn mtu analeta chakula kusaidia taifa wanazuia damu ya wanaolia njaa itakuwa juu yao
Mambo ya ndoa ni mengi sana changamoto ulizotoa wewe ni hafifu sana chamsingi Mungu aongoze mapito yenu hata kama maisha magumu bado utafurahia ndoa lkn pesa nyumba magar sio suluhisho pekee.......fikria upande wa shilingi unatutilea sababu zako na unajiaminisha nazo
Lakini ikikukuta moja tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.