Search results

  1. MtamaMchungu

    Ujasusi wa Israel unavyowaingizia mkwanja mrefu: Huduma ya kudukua simu moja ni bilioni 1, Wateja wakuu ni serikali na taasisi za kijasusi duniani

    Ndio maana ya "Akili ni mali", bilioni 1 kwa simu moja, Mtanzania utauza korosho tani ngapi kupata hiyo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
  2. MtamaMchungu

    Mke wangu hataki kutumia pesa yake kununua kitu chochote kwa matumizi ya familia

    Kuna wakati unaweza kusema huyu ni mke au shetani. Kuna ndugu yangu mke wake alikuwa anaweza kwenda hospitali, akaacha kuchukua dawa kwa bima, akaenda pharmacy na kuchukua dawa at inflated prices, baadae anakuja kudai refund kwa mume.
  3. MtamaMchungu

    Haya Mambo ya Viongozi wa Kisiasa Kwenda na Viti Vyao Kwenye Nyumba za Ibada Yasitishwe

    You never know, mwendazake alikuwa anatembea na dispensary yake watu wakawa wanasema sana, kumbe mwenzao ni kimeo. In short, mambo mengine tuyaache tu
  4. MtamaMchungu

    Haya Mambo ya Viongozi wa Kisiasa Kwenda na Viti Vyao Kwenye Nyumba za Ibada Yasitishwe

    Masuala ya viongozi na namna wanavyoenenda siyo ya kuyajadili sana. Unaweza kukuta ni kwa ajili ya afya yao
  5. MtamaMchungu

    MPYA Mchezaji wa mpira wa miguu wa kike akipata mimba kilabu alichokuwa anachezea wanaachana naye

    Kwani mikataba yao haiko kwa mujibu wa sheria za kazi?
  6. MtamaMchungu

    Tanzania tumeambulia kiduchu kwenye miradi yetu wenyewe ya ujenzi!Nini kifanyike?

    Anayetoa hela ndio anachagua wimbo. Pesa ya Mchina haijengewi na watu wengine. Wakati JK anaondoka madarakani, kulikuwa na makubaliano ya fedha za ujenzi na Wachina, Magufuli alivyoingia akataka kuleta ushindani kwenye kupata mkandarasi, alivyoshinda Mturuki, Wachina wakaondoa pesa
  7. MtamaMchungu

    Wataalam wa Tech naomba elimu yenu kuhusu Apps na websites

    Siku hizi Web na Apps development imerahisishwa na cross platform frameworks. Jifunze basic programming na vitu kama API, halafu jifunze Flutter.... you can make any app for majority ya plaforms
  8. MtamaMchungu

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Over my dead body.... uzuri wake wananijua nilivyo mtata!
  9. MtamaMchungu

    Kunambi: Wakurugenzi wa Halmashauri wasiwe Wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira

    Anashauri mambo yasiyowezekana kufanyika na chama chake.... tunapoteza muda tu
  10. MtamaMchungu

    Kudharau PhD za heshima ni ulimbukeni, ujivuni, dharau, kebehi na manyanyaso kwa waliopewa

    Swali ni je, wenye hizo PhD za heshima..... wangeweza kupata za Academic?
  11. MtamaMchungu

    Bunge la Marekani laidhinisha kitita cha $ billion 60 kwa Ukraine

    Now you are comparing a communist Nyerere with the Capitalists of the West.... From next week angalia stock prices za Raytheon na wengine. It's about the Benjamins.
  12. MtamaMchungu

    Bunge la Marekani laidhinisha kitita cha $ billion 60 kwa Ukraine

    Values ni mambo ya midomoni, war is about making money, pengine hujawahi kusikia Pentagon revolving door
  13. MtamaMchungu

    Bunge la Marekani laidhinisha kitita cha $ billion 60 kwa Ukraine

    Fanya research kidogo kabla ya kujibu.... Plus hao Pentagon hawako kwenye biashara ya kuisaidia Ukraine, wako kwenye biashara ya kuuza silaha za kampuni zao.
  14. MtamaMchungu

    Bunge la Marekani laidhinisha kitita cha $ billion 60 kwa Ukraine

    Shida ni defending ni very expensive... jamaa anatuma kamikaze drone za 1000usd, wewe unazitungua kwa patriot missile ya usd mil 2. Math is not mathing, muda si mrefu watarudi tena kuomba!
  15. MtamaMchungu

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    The guy kwa muda mrefu alikuwa anaonekana afya yake ni mgogoro. Apumzike kwa amani
  16. MtamaMchungu

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Kule utamtambia nani... Watu wengi hawajui kuwa Bill Clinton na Obama wote ni ma-Profesa
  17. MtamaMchungu

    Kwanini sishiki mimba?

    Binadamu hatufanani
Back
Top Bottom