Acha kutania watu. Nimekuja faster nikidhani nitaona nyumba kweli kumbe masihara. Ingia youtube utype dalalimwanamke uone nyumba za milioni 90. Ni nyumba kali sana na za kisasa na si masihara unayotuletea hapa. Hivi wewe unaijua miioni 90 kweli? Kwa ambaye fedha zake zinamuwasha atakupa mil 45...
Vya wahenga vizuri mkuu.Tafuta hicho kitabu ukisome ujue wahenga tulivyofaidi. Nikiwa mtoto wa level ya darasa la nne, kilinipa uelewa wa mambo mengi sana hadi walimu walinishangaa kwa maswali niliyokuwa nawauliza.
Sikiliza ndugu. Nenda dukani, nunua deodorants za kupulizia au za kurole mfano; nivea for men, dove men care, men mitchup na nyinginezo. Kila ukimaliza kuoga asubuhi weka sehemu husika. Hii si tiba ila inakulinda dhidi ya harufu hiyo kwa masaa 24 mpaka 48. Fanya hivyo mkuu utanipa mrejesho. Ila...
Haya bwana nadhani umeng'amua ukweli ndio maana umecheka. Haya maisha ni mafupi haipendezi kuwapa watu wengine stress/msongo wa mawazo. Kila mtu ana haki ya kuvuta hewa tuliyopewa na mwenyezi Mungu kwa amani.
Ukiona maisha yake binafsi yanakuudhi, ni rahisi tu. Saga chupa, koroga kwny maji kisha unywe. Chuki, wivu na husda vitakuishia. Unawezaje kuwaita watoto wa mwenzio eti majambazi? Eboo !!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.