Search results

  1. kibao cha mbuzi

    Songwe: RC awaomba waliohamishia biashara zao Zambia kwa kushindwa kulipa kodi warejee nchini wazungumze...

    Watalipa gharama za kuhama hama ama mpaka kodi walizolipa huko ziishe!? Vp kama wameenda kukutana na masoko mazuri zaidi ya hapa!? Mkikurupuka mjuege na gharama za matarajio ya matakwa yenu
  2. kibao cha mbuzi

    TRA wanakomoa wananchi, hii sio haki

    Jamaa ka'puyanga mpaka mwisho! #mpuyango_OG. Ni mwendo wa kupika data ila hali halisi inatia huruma. Mwendo wa cheo dhamana
  3. kibao cha mbuzi

    AJALI, MOROGORO: Mwanajeshi na Mtoto wafariki baada ya Basi la Polisi kugongana na Noah iliyokuwa na Wanajeshi

    Basi ya police ime hama line!? Ama naona vibaya!? Poleni sana #mbwa_kala_mbwa ila jamaa wamelewa madaraka kupitiza ukijumlisha na matukio wanayo yafanya, mh! Tupo pabaya #tarime
  4. kibao cha mbuzi

    Sirari: Wananchi wakusanyika kituo cha Polisi baada ya Polisi kudaiwa kumuua mdogo wake John Heche, Suguta Chacha

    Too much! What to do!? Hakuna haja ya kushirikiana na polisi, nikamkuta mahala anashida, nampita akiwa ananiona na kama anakufa, nammalizia,#pumbavu
  5. kibao cha mbuzi

    Je, Rais katumia Kanuni au Sheria ipi kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ikiwa Bunge ndio lenye mamlaka hayo?

    Yani! We acha tu! Ila kwa swala la dodoma naona ni shinikizo kwa wanaotoa misaada na wawekezaji pia ni pamoja na kuvutia wawekezaji
  6. kibao cha mbuzi

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Usilogwe ubanwe na haja ndogo alafu ukojolee hayo majani kwenye fensi
  7. kibao cha mbuzi

    Damu inanukia Ubungo External: Makonda, Msaidizi wake na TANROADS wanahusishwa

    Utasikia " hatufanyii kazi taarifa za mitandaoni "
  8. kibao cha mbuzi

    Ghetto Qura'n na kisa cha 50 Cent kupigwa risasi..

    Ghetto Gospel 2pac huyu 50 akaamua kutoka na qur an ila hii ya 50 cjawahi isikia
  9. kibao cha mbuzi

    Taarifa kwa wagegedaji: Vidonge vya uzazi wa mpango kwa wanaume vishapatikana.

    Inameza hivyo vodonge pamoja na mkongoraa na vumbi la kongo hahaha kama umefunga turbo kwenye bajaji
  10. kibao cha mbuzi

    The Other Half (Simulizi)

    Maana huyu ndugu nimemtafuta fb nikam'baini na web/blog yake nimeikuta ila inaonekana isha futwa sijui kakumbwa na nini huyu muheshimiwa! Duka ama hizi story zake zinapatikana wapi
  11. kibao cha mbuzi

    The Other Half (Simulizi)

    Sh ngap
  12. kibao cha mbuzi

    The Other Half (Simulizi)

    Shida niliyo pata leo haisimuliki! Hiyo tovuti inaitwaje!? Maana hata link haifunguki hizi zote nilizo ambatanisha hapo sijaziona plus hio picha ndio jibu ninalo pata baada ya ku click hiyo link
  13. kibao cha mbuzi

    The Other Half (Simulizi)

    Mkuu hizo episode unge edit kule mwanzo zina patikana page namba ngapi kila episode maana nimepekua post to post episode #2 sijaiona nimekuta tu ulio watag bila kuandia ipo page gani na nimesoma mwanzo wa episode 3# hamu ikaisha baada ya kujihisi nimeruka kipande kikubwa baada ya wale jamaa...
Back
Top Bottom