Search results

  1. A

    Zawadi kwenu waungwana bila choyo katika kuwaelezea ukweli kuhusu moyo

    Hii ni zawadi kwa waungwana kuhusu ukweli kuhusu moyo.Kwa wale tunao amini uwepo wa Mola muumba ukweli huu tunapaswa kuujua na kuufanyia kazi.Wale wasio amini uwepo wa Mola wanaweza kuchagua moja. Malengo ya Moyo kwa binadamu Hakika hali wa shani kila kiungo cha mwanadamu kimeumbwa kwa lengo...
  2. A

    Ni ipi asili ya ushairi wa Kiswahili

    Hakika hali wa shani,kila jambo lina asili yake.Sababu kila jambo lina asili yake,bila shaka ushairi wa kiswahili una asili yake.Hapa nina maswali yaliyomili katika kichwa cha habari hapo juu. 1.Ni nani wa mwanzo katika ushairi wa kiswahili ? 2.Kazi ipi ya mwanzo katika ushairi wa kiswahili ...
  3. A

    Nataka kujua kuhusu watu kutafuta wenza mitandaoni

    Habari zenu wake kwa waume humu ndani... Katika mambo ambayo huwa yananiumiza kichwa ni hili la kutafuta marafiki au wachumba kupitia mitandao. Sijajua hasa je ni kwa sababu ya uwepo wa mitandao yenyewe au ni njia ya wahusika kuficha madudu yao...? "AKILI MAHALA PAKE MOYONI NA SI KICHWANI"
Back
Top Bottom