Search results

  1. SILENT ACtOR

    Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    Taabu kwelikweli!!
  2. SILENT ACtOR

    Hii ' Kauli ' huwa inanichanganya sana hebu nisaidieni kunielewesha

    Mbona huku Shirati ni kawaida ..misiba kadhaa nimeshuhudia na bado naishi huku zaidi ya miaka 10
  3. SILENT ACtOR

    Hii ' Kauli ' huwa inanichanganya sana hebu nisaidieni kunielewesha

    Tendo LA kwenda msibani kuaga mwili tayari ni kumlilia. Ni maana pana. Si lazima machozi. Kuna makabila eg wajaluo Siku ya msiba mfiwa aliyepoteza mke/mtoto ndo mgawa chakula kabla/baada ya maziko. Hapa napo utasema hajamlilia mkewe? Anamlilia japo anaendelea na maisha.
  4. SILENT ACtOR

    Matamko kuhusu Elimu yaliyotolewa Mtwara ni hatari sana

    Mazoezi yapungue..kweli kuna Tatizo hapo..kubwa!
  5. SILENT ACtOR

    Ukitaka mwanao awe na akili, mruhusu afanye hivi

    Ni kama utani..japo kuna ukweli..michezo hii huboresha akili na afya, hasa katika mazingira yetu ya kibongo.
  6. SILENT ACtOR

    Askofu Bagonza: Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu

    Na bado..udikteta wa zama hizi ni mgumu sana!!
  7. SILENT ACtOR

    Kwanini wazungu na wahindi wanawahi kufika kileleni kuliko waafrika?

    Hao wanatufaa akina Sie..hatukawii kumwaga wadhungu..tabu yote ya nini?
  8. SILENT ACtOR

    Mtego aliotegewa Abdul Nondo na "watekaji" wake,hauna tofauti na ule wa Odwang Odwaa mwanafunzi Mganda UDSM

    Eti "Bush" nowadays ni kibaraka mkubwa wa serikali.. Nilimkuta siku moja akifokea wanachuo wasio na mikopo!!
  9. SILENT ACtOR

    Kupitisha siku nne bila kukutana kimwili na mke wako ni makosa

    Me akiwa mjamzito hqpendi tendo..yaweza pita hata wiki mbili..
  10. SILENT ACtOR

    Waziri Ndalichako asisitiza kuwa michango ya hiari haijakatazwa

    Watasema..watajichanganya..hadi watachoka.
  11. SILENT ACtOR

    Kupitia NYOKA binaadamu tuna funzo kubwa sana,kumkamata ni rahisi kumuachia inahitaji mahesabu makali

    Vema..suala muhimu hapa ni kuacha kabisa kuingia katika addictions. Uzi mzuri huu!
  12. SILENT ACtOR

    CWT ivifungie ndani vyama vipya kwa maslahi ya walimu.

    CWT Bai bai...nimeshajaza fomu ya kujitoa..
  13. SILENT ACtOR

    Hatimae account ya instagram ya Mange Kimambi yarejea

    Uko sawa..unamjuwa vema.
  14. SILENT ACtOR

    Kilichonikuta baada ya kunywa pombe

    Umeshaona dalili pombe imekukataa...bado unataka mpaka ujisaidie kitandani kisha uje kuomba ushauri..#mkeo ana shida!
  15. SILENT ACtOR

    Somo kwa wahafidhina wa Laliga

    EPL ni bora kabisa...
  16. SILENT ACtOR

    Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

    Mh...haya aksante..sikujua hili....
  17. SILENT ACtOR

    Hizi ndizo mbinu 5 wanazotumia wezi jijini Dar es salaam…

    Umeongea kweli tupu! Utapeli uko dizain tele..utalizwa bila kutegemea..akumbuke aliyetapeliwa kuwa jamaa yake anahitaji msaada na huna namna ya kuthibitisha kwa muda huo..
Back
Top Bottom