Search results

  1. S

    Tetesi: R Kelly sasa ana Tsh 29,000 kwenye akaunti

    U9f 0 aquarium ugh l Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  3. S

    Wakili Albert Msando na Zitto Kabwe wajibizana kuhusu mafao ya wastaafu kukatwa kodi

    Sasa hapa mfanyakazi anadaiwa kodi au sheria ndio inasema kuwa pesa ya hifadhi ya jamii haikatwi kodi?? Na kwanini ije kuwa deni baadae.
  4. S

    Mama Diamond; Wanaotukana mama za wenzao nawaona ni wapuuzi, Asema ameolewa na atazaa muda si mrefu

    Kweli kabisa mbona watu kibao mama zao bado wanaishi na waume zao..kwa umri gami hasa wakumzuia asiwe na mume
  5. S

    Wale walinzi ( bodigadi) wanaomlinda Hamissa nani anawalipa kama siyo Diamond?

    Mhhh ana 24yrs, ka date na Mond kwa siri for 9yrs jaman na majizo pia ndani ya miaka hyo hyo 9. Basi alianza mapema sana ka mchezo
  6. S

    Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

    nilimuona siku moja ameweka miguu juu kwenye dashboard ya Gari ya Sallah wa GSM. .. nilishangaa kwa kweli walikuwa wanaelekea kigamboni tulipishana pale Nyerere bridge mhhh Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    Tetesi: Zoezi la vyeti: 256 kupigwa chini NSSF

    Hivi Hawa 256 waliondoka kweli nssf baada ya uhakiki?? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    Tetesi: Zoezi la vyeti: 256 kupigwa chini NSSF

    Hivi wale 250 bado kuondolewa baada ya uhakiki[emoji32] [emoji32] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    NSSF kumburuza Mbowe mahakamani kwa kushindwa kuwasilisha michango ya wafanyakazi wake

    Kwahiyo Kampuni ya mbowe ndo itakuwa ya kwanza kupelekwa mahakamani kwa kutowasilisha michango?? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    WAKATI UKUTA! Wacheza filamu za Kibabe wa zamani walivyo hivi sasa

    Kweli kabisa Enzi hizo Nimwendo wa kuunga matukio Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S

    TANGAZO

    Yaani nilishangaa sana kuna dada kakataliwa kabisa huku zahanati ya segerea kupata Huduma ya clinic kaambiwa lazima aende na mwenzio jaman Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    Naomba tupeane uzoefu wa kuishi nyumba moja na mama mkwe baba mkwe mashemji

    Tena ni bora muendelee kulipa kodi mnaweza mkajopanga mkajenga na mkahamia kabla haijaisha vizuri,, huko mnakoenda mtaenda kuyavaa majukumu mtashindwa hata kujinunulia vocha, maana kama miaka yote mawifi wapo na mashemeji wapo ila mumeo ndo aliweza mkomboa mama !!!! Mhhh bora mkapange hata...
  13. S

    U.T.I sugu mwaka wa pili huu

    Pole ndugu ila jitahidi kufanya na vipimo vingine kama figo maana Kuna ndugu yangu alihangaika sana na U.T.I mwisho wa Siku ikagundulika figo zimefail
  14. S

    Nimekumbuka Mbali Sana Leo....!!!!

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  15. S

    24 hrs

    na hii nyingine ina season mbili tu inaitwa Xiii nayo tamu
  16. S

    Jengo la manesi laungua muhimbili!

    mh sisemi kama hii habari ya uongo ila siku ya jana jumapili yote nimeshinda pae garden nikisubiria kuingia mwaisela kumtazama mgonjwa ila sikuona hiii nimeondoka muhimbili saa 12.30 jioni...nilikaaa garden kuanzia saa mbili asubuhi mpaka sita na nusu nikapanda odini then nikawa tena garden...
  17. S

    Tafadhali kama una moyo mwepesi usitazame hii video ( maiti za watoto )

    mhh mti mkavu hii issue imetikea tena kwani?? au mi sijakuelewa?? mana nnavojua mimi hii issue ilitikea kama miezi sita iliyopita au mitano ila naoan kwenye habari yako umeandika mchana wa leo jeo mchana wa leo kwa maana ya jana jumapili au???
  18. S

    Unamfahamu miss tz huyu?

    Anjela Damas tu hyo nakipindi anasoma makongo alikuwa mlokole acha
Back
Top Bottom