Jengo la manesi laungua muhimbili!

Ni haki yake liungue (kama ni lile ninalolifahamu la manesi wanafunzi wanamoishi) lilikuwa limechakaa kinoma na kila miundombinu ilikuwa imechoka ile mbaya!
 
Bado tuna majonzi ya kuzama meli sasa hata hiyo sehemu ya kupokelea hao wajonjwa pia inaungua? Kweli hii ni LAANA na nimeamini kweli kuwa kumchagua Kikwete ni JANGA LA TAIFA. Dr Slaa aliona Mbali kama Nyerere alivyomkata Kikwete kuwa Rais wa hii Nchi. Sasa Kikwete ameigeuza nchi yetu kuwa kuwa nchi ya Banana.
 
[QUOTE=AirTanzania;2480826]Bado tuna majonzi ya kuzama meli sasa hata hiyo sehemu ya kupokelea hao wajonjwa pia inaungua? Kweli hii ni LAANA na nimeamini kweli kuwa kumchagua Kikwete ni JANGA LA TAIFA. Dr Slaa aliona Mbali kama Nyerere alivyomkata Kikwete kuwa Rais wa hii Nchi. Sasa Kikwete ameigeuza nchi yetu kuwa kuwa nchi ya Banana.[/QUOTE]


Hata hapo kwenye red ni utumbo tupu, CCM haijawahi kutoa
Rais bora ingawa ni ukweli tusiotaka kukubaliana nao, wote ni
walewale na mengi yanayotokea sasa hivi yanatokana na misingi
mibovu ambayo ilifunikwa kwa nyimbo na ngonjera za kuvutia.
Tuwe wakweli!
 
Kuna moja, lile linalopakana na MOI liliungua kama si 2001 basi ni mapema 2002.

Majira haya si chuo kimefunga? Nini chanzo cha moto?
 
mh sisemi kama hii habari ya uongo ila siku ya jana jumapili yote nimeshinda pae garden nikisubiria kuingia mwaisela kumtazama mgonjwa ila sikuona hiii nimeondoka muhimbili saa 12.30 jioni...nilikaaa garden kuanzia saa mbili asubuhi mpaka sita na nusu nikapanda odini then nikawa tena garden kuanzia saa nane na nusu mpaka saa kumi na kwa anayeijua muhimbi jengo la mwaisela haliko mbali na hilo jengo( kama ndio linalozungumziwa) sasa mtoa taarifa hebu tupashe vizuri
tayari season imeanza. mana nakumbuka mwaka jana kila upande kulikuwa n a moto.
 
Back
Top Bottom