Ni vyema KULIMA MATIKITI NA KUUZA. ANGALIZO ni pale wanunuzi watakaposhindwa KUMUDU BEI YA MATIKITI. Mfanyakazi akilipwa vizuri MZUNGUKO WA FEDHA HUONGEZEKA.
Huo sio umri wa kukataa tamaa. Ni vyema ukasubiri na kupata ndoa njema kuliko kukimbilia ndoa ambayo utakuja juta baada ya muda mfupi. Subira huvuta heri. On second thought nani kakuambia lazima kuolewa?
Hivi karibuni kumekuwa na mambo yanayonipa shida kidogo. Utakuta bendi ya muziki inatangaza kuwa itapiga shoo mahali fulani na shoo hiyo itakuwa mpaka majogoo (karibu na asubuhi). Cha kushangaza ni pale wanaposema wakubwa 5,000/= na watoto 1,000/=. Hivi watoto siku hizi wanaruhusiwa shoo za...
Jamani tujihadhari na matairi ya ku-retread. Angalia tairi la nyuma kushoto. Ajali hii ilisababishwa na kufumuka kwa tairi. Ilikuwa saa nne asubuhi maeneo ya Rungwe ambako hali ya hewa ni baridi.
Nimefuatilia mjadala huu nimeona niweke mawazo yangu.
Wizara ya Nishati kwa kupitia TANESCO imekuwa ikianda Mpango Kabambe wa Sekta ya Nishati (Umeme). Mpango wa kwanza uliandaliwa mwaka 1985. Utekelezaji wake ulisuasua hadi ukapelekea kujengwa kwa Pangani falls kabla ya Kihansi ingawa mpango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.