Habari wanajamvi,
Husika na mada tajwa mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Nyamagana.Nina shida ya huduma ya microneedling, yeyote mwenye kufahamu mahali naweza kuipata huduma hii kwa Mwanza naomba anijuze.
Asanteni
niliwahi kumuona huyu jamaa akimshusha mfiwa katika gari, akamlaza chini na kumkanyaga shingoni mbele ya familia yake waliokuwa katika gari, zama zake zimefika kikomo atavuna alichopanda kwa aliowatenda
he must go if he is a decent person, when i think bout those who lost their beloved and families, i feel as if my mind is being driven by electronic machines, it is real shocking
Habari wana jamvi?
Ningependa kufahamishwa kuhusiana na majukumu ya msimamizi wa kituo cha kupiga kura kwani sina uelewa juu ya hili na ningependa kufahamishwa na wanaofahamu.
Natanguliza shukurani za dhati.
======
Uteuzi wa Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura
Uteuzi wa Watendaji wa Vituo...
Hapa nimejifunza kitu nimewahi kupanga katika nyumba yenye chaangamoto, za mambo ya kishirikina, nilimueleza mshana akanieleza nitumie chumvi ya mabonge kama kinga ila ninuwie kile nnachotaka kitendeke,basi nikawa nafanya hivyo sambamba na kuomba kuwa mitego na silaha za adui zilizokusudiwa...
Habar wanajamvi,
Mkoani mwanza katika wilaya ya Nyamaghana kumekuwa na wimbi la uhalifu sugu tokea mwaka jana mwezi wa 12.Kwa uchache tu kuna kijana alichinjwa maeneo ya Nyegezi stand muda wa alfajiri asubuhi, kuna dada aliibiwa na kisha akabakwa na kuuwawa maeneo ya darajani kuelekea mtaa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.