Search results

  1. alpha walk

    INAUZWA Nauza perfume

    Habari wanajukwaa nauza perfume za kike na za kiume kwa bei ya 40,000 tu na ni brand ya kizawa kabisa Inakaa muda mrefu na inaweza kusikika harufu yake kwa umbali mrefu,napatikana Dar es Salaam unaweza kunichek kwa namba 0674376787 nikakuletea sample.
  2. alpha walk

    Nafungua mgahawa

    Habari wanajamvi, Mungu akipenda hivi karibuni natarajia kufungua mgahawa hapa Dar, kuna maeneo kadhaa nayafatilia kama nitapata mojawapo nitakuja tena kuwatangazia. Mgahawa wangu utaitwa Mihogo City tutakuwa tunauza mihogo ya kukaanga na nyama za kukaanga, samaki n.k(kama hivyo kwenye picha)...
  3. alpha walk

    Naombeni ufafanuzi

    Habari zenu wanajamvi. Bila kupoteza muda naomba mnisaidie kunifafanulia hili swali. Hivi kwamfano imetokea labda mtu ame-fake kifo chake alaf ww ndo ukaonekana umemuua ukafungwa miaka kadhaa jela kwa kesi ya mauaji, baadae unatoka unakaa uraiani baada ya miezi kadhaa unakuja kumuona yule mtu...
  4. alpha walk

    House4Sale Nyumba inauzwa ipo Toangoma Dar es salaam

    Nyumba inauzwa ipo toangoma dar es salaam -Ina vyumba vitatu kimoja master na vyote vina feni juu na sehem ya kuweka kabati la nguo -Dinning -Jiko kubwa -Sebule -Choo cha ndani na nje(hiki cha nje bado hakijaisha) -Gypsum -Tiles kote kasoro vyumbani tu -Nje kuna vyumba viwili kimoja...
  5. alpha walk

    nauza banda

    nauza banda la bati futi 7 kasoro,lipo kwenye hali nzuri na linahamishika,lipo kigamboni bei 200,000 tu namba yangu 0653110660
  6. alpha walk

    INAUZWA Banda linauzwa

    banda kubwa zuri la bati linauzwa bei 280,000 tu maongezi kdg yapo halina tatizo lolote!lipo kigamboni linahamishika kama unalihitaj nipigie 0653110660
  7. alpha walk

    INAUZWA Banda linauzwa

    Banda la biashara linauzwa lipo kigamboni dar es salaam,ni kubwa na linahamishika,halina tatizo lolote bei ni 380,000 tu! Nipigie 0653110660. Kama haupo mbali sana na kigamboni nakuletea FREE!
  8. alpha walk

    Ninatoa huduma ya upambaji kwenye sherehe na matukio ya aina zote

    Habari naitwa Frezier Nehatta kutoka forever events sisi tunajihusisha na event decoration kama vile harusi,kitchen party,birthday, graduation,anniversary,engagement,farewell n.k tupo dar es salaam namba zetu ni 0653110660 na 0622667749 instagram tunatumia foreverevents(profile picture tumeweka...
Back
Top Bottom