Search results

  1. Mzolewa

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi mnaotuma namba mmefanikiwa kupata umeme?
  2. Mzolewa

    Natafuta pasi nzuri ya kunyooshea nguo

    Nimetumia Philips ila iliyeyuka control switch, nikanunua Hitachi ikaungua nikanunua aina flani ya pasi ya kutumia maji ikazingua Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mzolewa

    Natafuta pasi nzuri ya kunyooshea nguo

    Kiongozi mimi niko Morogoro, anyway hiyo Philips now bei gani Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mzolewa

    Natafuta pasi nzuri ya kunyooshea nguo

    Duh ok,ila kwani nilipaswa kuandikaje kiongozi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mzolewa

    Natafuta pasi nzuri ya kunyooshea nguo

    Ni muda sasa natumia pasi aina tofauti lakini hazidumu, zimekuwa zinaharibika au kuungua sana. Mwenye kujua aina nzuri ya pasi na ikiwezekana na bei yake anisaidie. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mzolewa

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nahitaji pasi ya nguo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mzolewa

    Nyalandu anagawa kadi za CHADEMA misibani Singida

    Mbona mtoa thread hajaweka ushahidi wa msiba! Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
  8. Mzolewa

    Niliyemdhamini ametoroka baada ya kutolewa mahabusu

    Wengine wanasema kujiondoa udhamini hadi mtuhumiwa apatikane
  9. Mzolewa

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    NMB Klik mimi sielewi baada ya kufanya update haifunguki baada ya kuweka password, shida iko wapi?
  10. Mzolewa

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ikitoka remote ya mita imeharibika kupata nyingine utaratibu wake uko vipi?
  11. Mzolewa

    Niliyemdhamini ametoroka baada ya kutolewa mahabusu

    Nami nimejifunza japo kwa kuumia
  12. Mzolewa

    Niliyemdhamini ametoroka baada ya kutolewa mahabusu

    Yaani kiongozi kazi kweli kweli
  13. Mzolewa

    Niliyemdhamini ametoroka baada ya kutolewa mahabusu

    Inaendaje hapo kiongozi chini ya adhabu mkuu
  14. Mzolewa

    Niliyemdhamini ametoroka baada ya kutolewa mahabusu

    Bro kesi iko katika mtindo wa madai ila kwa kuwa ilianzia police ndo ikaenda mahakamani jalada likabadilika kuwa jinai
  15. Mzolewa

    Niliyemdhamini ametoroka baada ya kutolewa mahabusu

    "Wanajamvi naomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu wa kisheria anisaidie" Kuna mtu nilimwekea dhamana mahakama ya mwanzo kwa kosa la jinai ya kujipatia mali/huduma kwa udanganyifu baada ya kutoka selo alitoroka na juhudi za kumpata hazijafanikiwa, ili niwe sehemu salama sheria inasemaje?
  16. Mzolewa

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nisichoelewa ni pale unaponunua umeme wa 5000 unapewa unit 11 kwa hesabu zipi sasa
  17. Mzolewa

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Ni kweli voda hata vifurushi vyao haviko stable
Back
Top Bottom