Mzolewa
Member
- Dec 15, 2016
- 35
- 8
Ikitoka remote ya mita imeharibika kupata nyingine utaratibu wake uko vipi?
Mita yangu imeungua ni wiki ya pili sasa,baada ya kutoa taarifa mafundi walifika na kubaini mita imeungua,wakasema itabadilishwa nyingine wiki mbili zimekata sasa siwaoni tena,kwani inachukua mda gani kubadilishiwa mita iliyoharibika? mana tupo watatu wenye shida kama hiyo...nipo tanga mjini