Search results

  1. SIMON J MSENGA

    Uchaguzi 2020 EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii

    Mheshimiwa Lissu, kwa namna hali ya kampeni zilivyo, unaonyesha kabisa umeshinda! Swali, Je ni kwa namna gani umejipanga kuhakikisha tunakabidhiwa dola ili hali inajulikana CCM hawako tayari kukabidhi kwa njia yoyote ile?!
  2. SIMON J MSENGA

    Mtandao wa wanafunzi Tanzania TSNP, umetoa angalizo katika maeneo kadhaa kuelekea kufunguliwa kwa vyuo na kidato cha sita nchini

    Kufuatia tamko la Serikali juu ya kufunguliwa kwa vyuo na vyuo vikuu vyote nchini pamoja na wanafunzi wa kidato cha sita hapo Tarehe 1 Juni 2020, Mtandao wa Wanafunzi Tanzania – TSNP unapenda kutoa angalizo katika maeneo kadhaa ili kuhakikisha haki na ustawi wa wanafunzi unazingatiwa...
  3. SIMON J MSENGA

    Maoni ya Taasisi ya Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) kuhusu masuala ya wanafunzi kipindi hiki cha dharura ya ugonjwa wa corona (Covid 19)

    Mtandao wa wanafunzi Tanzania – TSNP unapenda kutoa maoni juu ya jitihada mbalimbali zinazofanyika ili kuendeleza masomo katika kipindi hiki cha dharura ya ugonjwa wa CORONA: Kwanza: Kuhusu vipindi vya masomo kwa njia ya Redio na Televisheni vinavyoratibiwa naTaasisi ya Elimu Tanzania (TIE)...
  4. SIMON J MSENGA

    Kardinali Pengo: Maisha yamekuwa nafuu sana awamu hii

    Asee ndo maana nimeelewa kwa nini Gwajima ali mchana, askofu hayupo serious
  5. SIMON J MSENGA

    Wanaume Serious Njooni Mnishauri!!

    Serious, hata mm nilipatwa na tatizo hilo lkn hatimaye nilichukua hatua nimepona
Back
Top Bottom