Search results

  1. Nsibhwene

    Uteuzi: Rais Magufuli amteua Profesa Fredrick Kahimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania(TEMDO)

    Hongera sana Prof. Kahimba. Tanga Tech School product. Wazee wa Bampali. Ifanye TEMDO ijulikane, maana wengi wa wachangiaji wako kwa pori.
  2. Nsibhwene

    Congo dust ni nini?

    Nimekuwa nikisikia Kongo Dast (Lakini nadhani ni Congo Dust). Hii ni kitu gani?
  3. Nsibhwene

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo ulio imbwa na Deo mwanambilimbi lakini Bahati mbaya siujui jina lake ila maneno yake yanasema Kazi Yangu ni Dereva daladala/taxi ni lazima nifikishe hesabu ya bosi. Kazi Yangu ni kufagia barabara ni lazima ....
  4. Nsibhwene

    Fatma Karume: Nitawatetea wapenzi wa jinsia moja, Amber Rutty ana haki ya kutumia mwili wake

    Sheria za nchi zinakataza sodomy, sasa sijui yeye dada Fatma ananukuu wapi? sidhani kama utetetezi wake ni wa bahati mbaya. Labda zipo sheria zingine zenye exceptions.
  5. Nsibhwene

    Fatma Karume: Nitawatetea wapenzi wa jinsia moja, Amber Rutty ana haki ya kutumia mwili wake

    Sina tatizo na Fatma Karume kupigania haki za binadamu. Nakupongeza sana kwa hilo. Lakini lazima Fatma aelewe kwamba haki ya mtu mmoja haiwezi kuzidi haki ya jamii au waliowengi. Je yeye kama msomi na wakili mzuri, ameyapima madhara yaliyosababishwa na hawa jamaa ku post video za sodoma kwenye...
  6. Nsibhwene

    Waziri Mwakyembe asema mitandao ya kijamii ni vijiwe, aipongeza JamiiForums

    Duuuh!, yaani kumbe na wewe una nondo eeh!!, sikujua hili. Kaza buti, maisha ni kujifunza na JF ni moja ya madarasa. wk nd njema
  7. Nsibhwene

    Tanzania Yashukiwa na Muujiza, Utajiri Bila Jasho

    Nadhani ungesaidia kufafanua kwa faida ya wengine ili kuondoa ukakasi. Ukimjibu kwa staili hiyo, hakika utakuwa hujawasaidia wengine mkuu. Hebu weka sawa hili.
  8. Nsibhwene

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Asante Mr. Akili mgando. Yaani wewe unafikiri kufanya biashara ya Forex ni fedha za bure. Who told you? Unalipa ada, unasoma darasani, unaweza mtaji wako huku ukiwa umetumia muda kujisomea, kufanya analysis za kutosha unaita hela ya Burr? How? Au wewe ni wale wanaoamini kwamba kufanya kazi...
  9. Nsibhwene

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Asante Sir. Jeffy a.k.a Ontario na timu yako nzima Mr. Creation a.k.a Cre (mentor) na Mr Rea(mwalimu). Kaza buti Vijana wenzenu wajifunze vyakutosha kutoka kwenu. Nyinyi ni magwiji wa mabadiliko chanya ya hatma za vijana wasomi wanaohangaika kutafuta ajira. Wana Iringa, msidanganyike. Forex ni...
  10. Nsibhwene

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Watu wa mwanza, mmeletewa Neema. Jitokezeni kwa wingi kujifunza fursa hii muhimu tuliyoikosa miaka mingi ambayo internet imekuwepo lakini kwenye maarifa na taarifa hawakujitokeza mapema kujuvya wa TZ. Big up kwa kijana ndogo wa mwili na umri Ontario ambaye amejitolea kwa nguvu zake zote...
  11. Nsibhwene

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Asante kwa majibu yenu. Mimi ni msomaji lakini Wakati kwenye kufanya technical analysis sina shida, nikija kwenye kuunganisha matukio yaani Technical na fundamental analysis ndio hapo kwenye shida. Naweza kujua kuwa trends za pairs zitakwendaji ndani ya TF fulani lakini likija suala la...
  12. Nsibhwene

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ninapata Wakati mgumu kutafsiri taarifa zinazoweza kuathiri trend ya pairs. Mathalani, unaposema unemployment rate imeongezeka au kupungua, Je ni kwa namna gani itaiathiri au kunisaidia kuamua Long or Short. Tafadhali naomba Maelezo kwenye hili huku ukiangalia pia biashara za dhahabu, Mafuta...
  13. Nsibhwene

    Rais hana hotuba mpya, zote zilipendwa!

    Binafsi sioni kama ni tatizo kurudiarudia YELEYALE ambayo anayaamini kuwa ndio kero kuu. Ni lazima arudie kwa kuwa watu bado wanafanya YALEYALE. Naamini siku watu wakiacha kufanya YALEYALE, Rais naye ataacha kusema YALEYALE. Ni mawazo tu
  14. Nsibhwene

    Dr Tulia Ackson Miaka yote aikuwa wapi?

    Nakuheshimu lakini kwa ulichoandika sio busara kukiacha kipite hivihivi. SIO SAHIHI KABISA KWAMBA NGOMA ZA KINYAKYUSA - Mang'oma, mapenenga, magosi, mababatoni, syobhela, kituli, nk eti yana uhusiano na imani za ushirikina. BIG NO ndugu. Mashindano ya ngoma hizo, hususani Mapalano huwa na...
  15. Nsibhwene

    Mapya ya Lissu: Risasi moja iliingia kwenye ini

    Itisha mdundiko usherekee basi.
  16. Nsibhwene

    Tetesi: ACACIA yabwaga manyanga?

    Hivi HaWa accacia wakiondoka nasi tukianza kuvuna dhahabu kwa kutumia zana zetu, je tutaingiza hiyo dhahabu kwenye masoko gani? Naomba msaada kwa wale wanaoelewa uchumi wa madini duniani namna unavyoendeshwa.
  17. Nsibhwene

    Hongera RC, Mbunge,Meya na Madiwani wa Arusha kulibadilisha jiji

    Tanga au Tanga School. Fafanua.
  18. Nsibhwene

    Mbunge Musukuma amjibu RPC Geita baada ya Polisi kupiga mabomu wananchi

    Ukimsikiliza msukuma peke yake unaweza kuishia kuhukumu pasipo haki. Ina maana huyu RPC na RC ni nunda kiasi hicho. RC, RPC, nk !!!!!!!!!??. Rais katukanwa au anatukanishwa/ametukanishwa na Msukuma? Haya mambo yanaonekana ni madogo, lakini yakilelewa yana madhara. Kufanya uchunguzi na kubaini...
  19. Nsibhwene

    Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    Duuuuh!!!!!!????. Natamani kutukana Lakini nadhani hoja zimejibiwa na wengi. Ila kama kweli hii ID ni ya Mkuu na kwamba anaweza kufanya uchambuzi wa tukio kwa kiwango hiki, basi tuna safari ndefu na ni hatari kwa mustakabali wa amani ya nchi yetu. Sasa naanza kuamini kwamba, Kukosekana kwa vyeti...
Back
Top Bottom