Search results

  1. M

    uamsho waibuka rasmi adhuhuri leo

    lengo ni kuitetea zanzibar kua huru.kundi hilo lilobahatika nakua na wafuasi wengi zanzibar limetoa tamko rasmi leo adhuhur katika msikini wa mbuyuni mjini magharibi zanzibar juu ya kuitaka zanzibar kua huru.
  2. M

    uamsho umeanza kufanya kazi rasmi adhuhuri leo

    kampeni kubwa juu kundi kubwa hilo la kiislamu ni kutaka zanzibar huru na sio vengine.nikundi lilobahatika kua na mvuta mkubwa visiwani zanzibar.uamsho ni jumuiya ya kiislamu ambayo ipo miaka mingi iliyopita.kundi hilo limepata baraka za mwenyekiti wa tume ya kukushanya maoni juu ya matengenezo...
  3. M

    Salaam za sikukuu ya eid

    ningependa kuwatakia sikukuu njema wanachama wote wa jf.MUNGU ATUBARIK.EID MUBARAK
  4. M

    WAZANZIBAR:vijana na wasomi walio wengi wa kitanganyika hawaulewi muungano

    Mimi nitaendalea kushangaa iwapo ikuondoa wanasheria waliopo tanganyika wasomi wa kada nyengine wanashindwa kusema na kuelezea angalau paragraf moja juu ya muungano. Hayo sio mageni kwasababu hata humu ndani ya jamiiforum wapo watanganyika unapoongelea ishu za muungano wanazarau na kutoa manane...
  5. M

    CHADEMA:Walioanza kuyaona maovu ya CCM ni WAPEMBA na sisi tukafuatia

    hiyo nikauli iliyotolewa na mwanachama wa chadema muda huu.katika kutoa changamoto hzo ameibua swali moja tu kwa hadhira wake linalosema.jiulize tokea uikatae ccm na kuipenda chadema ni muda gani?kila mmoja kimya.tafakar
  6. M

    Wabunge wa chadema wanamkamua mtu jasho

    katika ukimbi wa bunge leo wagombania ubunge wa bunge la pan african wametakiwa wajinani kwa kutumia lugha ya kiengereza inaonekana wengi wa wabunge wa ccm walitokwa na kijasho
  7. M

    kwanini Watanganyika wanachukia jina lao nakuita Tanzania bara?

    hata hapa ktk ukumbi unaposema sisi watanganyika kutakua na baadhi ya watu watatamani kutapika,wamesahau kua mkataa kwao nimtumwa wengi hufurahi kuitwa mtanzania bara,mbongo,na huchukia kuiwa mnyika.jee neno tanganyika limekwenda wapi?
  8. M

    kikombe ndani ya uluguru.

    kikombe cha tano kimepatikana kutoka morogoro.bibi huyo anaitwa bi fatma said ktk manispaa ya morogoro,bibi huyo ameoteshwa karbu miaka ishrini sasa.alipoulizwa amesema dawa yake ni tofauti na yababu wa loliondo kwasababu yeye ameoteshwa na mizimu,kikombe chake ni sh.200 na mnywaji lazma apewe...
Back
Top Bottom