kwanini Watanganyika wanachukia jina lao nakuita Tanzania bara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwanini Watanganyika wanachukia jina lao nakuita Tanzania bara?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mandi, Apr 1, 2011.

 1. M

  Mandi JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hata hapa ktk ukumbi unaposema sisi watanganyika kutakua na baadhi ya watu watatamani kutapika,wamesahau kua mkataa kwao nimtumwa wengi hufurahi kuitwa mtanzania bara,mbongo,na huchukia kuiwa mnyika.jee neno tanganyika limekwenda wapi?
   
 2. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hao ni watumwa ndio maana wakaitwa WADANGANYIKA.
   
 3. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  ukiolewa unakuwa mrs. Fulani au utaitwa mama fulani.
   
 4. s

  sawabho JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Naona una mpango wa kuondoa rangi ya bluu kwnye bendera ya Taifa.
   
 5. M

  Mswahela Member

  #5
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kizazi kipya/vijana ni wengi, nao hawajui jina la Tanganyika. Makosa yalifanywa na Nyerere, sasa kama unataka watu wabadilike na kujiita Watanganyika basi ni vyema uje na mapendekezo ya kura ya maoni. sijui kwanini tunaogopa sana kura za maoni !!!
   
 6. N

  Nonda JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mandi.

  Wazee wetu wa Tanganyika walileweshwa kileo cha propaganda na Mwalimu. Wakalisahau jina la nchi yetu. Wale wachache waliokataa kileo hicho walionekana ni wahaini.

  Sisi tumefungua macho tunasikia kuna nchi ya Tanzania na Zanzibar.
  Nchi yetu ya Tanzania inasherehekea miaka 50 ya Uhuru wake.
  Nikisoma vitabu vya historia vinasema Tanganyika kwa sasa inajulikana kwa majina mawili; Tanzania au Tanzania bara.

  Hili jina Tanganyika linafanana na "Danganyika" kwa hiyo hatutaki kuitwa wadanganyika..Mwalimu alitudanganya!
   
 7. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu ni wa se.nge
   
Loading...