kikombe ndani ya uluguru. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kikombe ndani ya uluguru.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mandi, Apr 1, 2011.

 1. M

  Mandi JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kikombe cha tano kimepatikana kutoka morogoro.bibi huyo anaitwa bi fatma said ktk manispaa ya morogoro,bibi huyo ameoteshwa karbu miaka ishrini sasa.alipoulizwa amesema dawa yake ni tofauti na yababu wa loliondo kwasababu yeye ameoteshwa na mizimu,kikombe chake ni sh.200 na mnywaji lazma apewe na mtoto mdogo aliekua hajabalekhe.souce zenj fm from its respondent direct in morogoro
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  uchawi huu sijui utaisha lini? Tumerogwa na aliyrturoga hatumjui
   
 3. M

  Mandi JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hatukurogwa nazjaz sisi watanzania baada yakufuata ibada zetu tumekubali kufuata mashetani iliyobaki wacha watuendeshe
   
 4. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Naipenda Tanzania..........
   
Loading...