Search results

  1. cansir

    Nimeibiwa mahindi shambani jamani. Wezi kwanini mnafanya hivi?

    Usijali ndugu maana katika mavuno yako kila kitakacho liwa na mdudu,ndege?mnyama na binadamu yoyote utalipwa na M/Mungu ivyo kaza moyo na kazi iendelee
  2. cansir

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Where r tomorrow's jackpot you lazy motherfuckers?![emoji848][emoji848][emoji848]
  3. cansir

    Ni binadamu gani anayeongoza kwa kutajwa sana?

    Mohammad SWA Anatajwa na waislam wote wanaoswali mara tano kwa siku
  4. cansir

    DAR: RC Makonda kuwapima wanaume Tezi Dume nyumba kwa nyumba

    Aanzie K/koo Jangwan Kwa Watani Wetu
  5. cansir

    Msaada: Nimetengwa kijamii

    Amen to that brother
  6. cansir

    Msichana wangu ananipa wakati mgumu katika swala la kumuoa

    Kiongozi hata wewe si haupendi shida sasa kwann yeye apende?! U should use it as motivation instead
  7. cansir

    Jinsi ya kufunga ndoa na jini

    Married the bitch but she's the one proposed so didn't have to go through all this shit
  8. cansir

    Hivi na wa aina hii kweli mnataka ma bwana wa kuwaweka ndani

    Hoja nzuri nasubiri mitazamo tofauti
  9. cansir

    Nani amfafanulie mfalme wetu huyu maandishi? Wachawi wameshindwa!!!

    Niwemugizi kayafafanua ila wamejitokeza mamluki ku-sugar coat. It seems impossible to escape our destiny
  10. cansir

    Sakata la Lissu: Mange kufunguka

    Naona mnamjadili mleta mada mtarajiwa doh jifunzeni Na mbadilike watz
  11. cansir

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    ITV mkuu
  12. cansir

    Ushuhuda wa kweli wa kilichonipata

    Kizeeembe ulishindwa kukwepa leso aagh!!
  13. cansir

    Kujenga ukuta Mererani haitaweza kutatua tatizo la utoroshaji wa madini

    Km za mraba 87 wow thamani ya tanzanite inatokona Na mauzo ya nje hao wazungu wakisabotage soko? Na hizo tanzanite chini zimemebaki kiasi gani? Kufidia gharama Na kuleta faida au ndo kujenga kila Kona kujenga jamaa bado anadhani yupo wizara ya ujenzi au
  14. cansir

    Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

    Mkuu Kuna tamthilia ya kikorea ilikua inaonyeshwa saa moja kasoro nimefuatilia Sana jina lake sijui unakumbuka
  15. cansir

    Tupeane ujanja wa kuishi jela bila kuonewa na watemi

    Uzi wa maama Sana huu hebu tupeane maujuzi hata second hand experience maybe u heard from someone who heard from someone
  16. cansir

    Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136!

    Kama hii mijadala humu jf inaakisi fikra za watz tunaitaji kipigo kitakatifu ili tukae sawa naamini Kuna smart people they will figure it out ila niwakumbushe regardless if you are in bad situation it can get worse
  17. cansir

    Nataka kufunga ndoa bila sherehe

    Mi sichangiagi na sihudhurii so I guess when time comes it will be my only option
Back
Top Bottom