Search results

  1. Good Luci

    Uhalisia wa Mbingu Mpya na Nchi Mpya

    Hello JF, Karibuni tupate ufahamu wa aliyetuumba sote ulioanzia Tanzania kwenda mataifa mengine.Twende pamoja UFUNGUO Wakristo kwa Waislamu wanasubiri siku ya kiama au mwisho wa dunia! Wengi wao wakisema mwisho wa dunia wanadhani kuwa ni tanuru la moto ambalo litawaka kama moto wa kuyeyusha...
  2. Good Luci

    Ufafanuzi wa Siku ya Kiama au Mwisho wa Dunia

    Habari wanaJF, Wakristu kwa Waislamu wanasubiri siku ya kiama au mwisho wa dunia! Wengi wao wakisema mwisho wa dunia wanadhani kuwa ni tanuru la moto ambalo litawaka kama moto wa kuyeyusha chuma kuangamiza watu. Hawadhani kuwa akili ya mtu na mwanadamu kufika mwisho ndio mwisho wa dunia...
  3. Good Luci

    Ufafanuzi wa uumbaji na kilichotokea

    Habari wanaJF, Katika Mwanzo 2:7, Adamu 1 aliumbwa kwa udongo na mavumbi, katika warumi 8:23 kitabu kinasema kuwa sisi sote tulikuwa malimbuko ya Roho na Nafsi ambayo inaugua na ina mwili (yaani ina uadui na aliyeumba). Mwili kwa mujibu wa warumi 8:4-7 ni uadui na aliyeumba kila kitu. Kwa nini...
  4. Good Luci

    Majira ya Aliyeumba

    Heri, (1) Nabii Isaya katika kitabu cha Isa.4:2, alisema ipo majira ambapo kutakuwepo na chipukizi zuri. Hapa Nabii Isaya alikuwa na maana kuwa kilichokuwepo huko nyuma ni chipukizi la mabaya. Moja ya chipukizi la mabaya ambalo ndilo kubwa kuliko yote ni lile la Nafsi ya mvamizi ambalo...
  5. Good Luci

    Kumjua Mungu wa Kweli

    Hello JF, Katika uumbaji wa vitu vyote vinavyoonekana Kuna hatua za uumbaji na majira ambayo hayo yote yalitokea. Ufahamu wa aliyeumba yaani Mungu Baba ambaye uhalisia wake ni CHANZO HALISI (REAL SOURCE) alikuwa peke yake (MAHALI PAKE)kabla ya roho na nafsi yeyote, ndipo akasikia uumbaji...
  6. Good Luci

    Anyone with knowledge about crypto currencies

    Habari zenu wana JF, Kuna huu mfumo wa crypto currency ambao unaleta sura mpya katika financial markets na katika digital money. Kwa yeyote mwenye uelewa zaidi wa mfumo huu na how it works anakaribishwa kwa mchango na mawazo. Natanguliza shukrani kwenu.
Back
Top Bottom