Anyone with knowledge about crypto currencies

Good Luci

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
444
602
Habari zenu wana JF,

Kuna huu mfumo wa crypto currency ambao unaleta sura mpya katika financial markets na katika digital money.

Kwa yeyote mwenye uelewa zaidi wa mfumo huu na how it works anakaribishwa kwa mchango na mawazo.

Natanguliza shukrani kwenu.
 
There are two position there,either you want to use it for normal transaction or wana get profit out of it?
 
Back
Top Bottom