Search results

  1. dittu

    Kujitegemea huanza baada ya kuwa na kipato au umri ukiwa mkubwa

    Banana tu home ndugu hata kama unamiak 32 now ukianza kujitegemea wakati kipato huna utadhilika sana ni bora uchejwe unakaa home kuliko kutukanwa kodi huna.
  2. dittu

    Kujitegemea huanza baada ya kuwa na kipato au umri ukiwa mkubwa

    Mtu akiwa na miaka 35 anakaa kwao msimcheke jamani hana kipato ataenda kujitegemea ale nini?
  3. dittu

    Kujitegemea huanza baada ya kuwa na kipato au umri ukiwa mkubwa

    VIjana wenzangu pale tunapoanza kujitegemea huwa tunazingatia kigezo kipi kati ya hivi. Umri kuwa mkubwa ndo unaona basi ukajitegemee hata kama huna kipato utateseka huko na malipo ya kodi mpka utatamani nyumbani tena.au hata kama ninaumri mdogokuna watu miaka 25 tayari wanakipato cha kuwafanya...
  4. dittu

    Bodi ya utalii mnastahili pongezi kwa hili

    Kivipi si ndo hiyo wanafanya sasa wanakuwaje wapuuzi tena.
  5. dittu

    Bodi ya utalii mnastahili pongezi kwa hili

    Unajuwa watz wengi wanajuwa kutalii mbugani ghalama kubwa lakini siyo kweli kabisa kiingilio cha juu 10000 na chini sh 5000 tu sasa huu uelewa wakijitahidi kuufanya kila mtu akafahamu watu wataenda sana tu.
  6. dittu

    Bodi ya utalii mnastahili pongezi kwa hili

    Wamegawa frash za kuhamasisha utalii mabasi yote pale ubungo tukiwa kwenye magari huwa tunaona ikiwekwa mambo mengine ni changamoto ndogo kama hivo wanavyozitatuwa
  7. dittu

    Bodi ya utalii mnastahili pongezi kwa hili

    Ndugu nimewapongeza kwa walivyoanzisha kutangaza kwenye mabasi,unasema gharama za mtanzania zipo juu siyo kweli kaka mtz kuingia mbugani ni hela ya juu ni sh 10000 tu na mbuga nyingine ni sh 5000, mtz kulala hostel za tanapa ni sh 5000 hadi 10000 ghalama ziko wapi wakifanya vizuri...
  8. dittu

    Bodi ya utalii mnastahili pongezi kwa hili

    Kuna siku nilikuwa nasafiri kutoka Dar kuelekea Dodoma tulipofika maeneo ya benzi akasimama jamaa mmoja, alivyosimaa mimi nikajua ni wale wale wa kuuza sabuni na vipidozi. Alipoanza kuongea ndipo nikagundua jambo tofauti, alikuwa anazungumza kuhusu kutembelea vivutio vya utalii alizungumza...
  9. dittu

    Tetesi: Akaunt ya Mange insta yadukuliwa

    Kuna mtu humu alileta uzi anachekelea akaunti ya mange imepotezwa tena akaenda mbali zaidi na kuanza kujigamba kwamba huyo hawezi kucheza na serikali wakishilikiana na mafia,baada ya akaunti kurudi kauchuna kimya utadhani hajaona wakati iliporudi nauhakika alikuwa wa kwanza kujuwa kwa jinsi...
  10. dittu

    Katibu wa Tanapa na waziri wa maliasili fanyeni utaratibu wananchi wafaidike na nyama ya nyumbu wapo wengi sana

    Ni wazo zuri bro naongezea tanapa waanzishe mabucha za nyama pori huku mtaani,yaani kunakuwepo na bucha hata moja kila mtaa mtu akitaka nyama pori anaenda kununua hapo ,ila wauawe wanyama ambao ni hawapo kwenye hatari ya kutoweka .
  11. dittu

    Sirro: Jeshi linatambua Makosa ya kimtandao yanayofanywa na Mange Kimambi na linashughulikia

    Ni tanzania inaweza kutokea hii,Uhamiaji wa nchi wanatowa barua ya kumtafuta mtu ,mkuu wa jeshi la polisi anasema atamshughulikia mtu lakini mtu mwingi anasema mtu huyo hana impact na serikali,haya ndo yale mambo zidumu fikra za mwalimu nyerere
  12. dittu

    Sirro: Jeshi linatambua Makosa ya kimtandao yanayofanywa na Mange Kimambi na linashughulikia

    Sasa ni mpaka atiwe mkoni hayo uliyoyasema ndi yatafanyika mada inaeleza ugumu wa kumtia mkononi,uwe unaelewa basi kabla ya kukoment upande wako kama ingekuwa rahisi kumpata wangeshampata zamani maana juwakosoa hjaanza leo
  13. dittu

    Sirro: Jeshi linatambua Makosa ya kimtandao yanayofanywa na Mange Kimambi na linashughulikia

    Shujrani boss ila ifafanue mapema political asylum ili na wengine tuielewe vizuri
  14. dittu

    Spika wa Bunge, Job Ndugai athibitisha kupokea barua ya kuvuliwa uanachama Wabunge 8 wa CUF

    Kama kichwa cha habari kinavyosema natamani spika alizie kufukuzwa kwa wabunge hao ili uchaguzi ukarudiwe hii itampa taswila lipumba kwamba wabunge hao walipatikana kutokana na ushilikiano wa ukawa na siyo jambo lingine, Asichokifahamu au inawezekana anafahamu lakini anajitowa ufahamu ni kwamba...
  15. dittu

    Uwiano wa wanunua sanaa ikiwa kwenye CD na wanaonyonya kwenye internet

    Kukoment ukiwa umelewa na kiroba ni raha sana
  16. dittu

    Uwiano wa wanunua sanaa ikiwa kwenye CD na wanaonyonya kwenye internet

    Nilichokiandika umekielewa?ndo maana nilitowa tahadhali mwisho kabla hujakoment uelewe nilichokiandika maana watu kama nyinyi huwa hamkosekani,ila kimoyo moyo ujumbe umefika na umeuelewa inakosea kompyuta sembuse mtu
  17. dittu

    Uwiano wa wanunua sanaa ikiwa kwenye CD na wanaonyonya kwenye internet

    Hii ni point sana lakini iwe kuwe na usawa hata hao wa nje nao walipe kodi wandani washushe bei halafu wakutane sokoni wote katika usawa wa aina moja kibiashara atakayeuza hayaa atakayeingia hasara atachagua aboreshe au aachane na biashara hiyo
  18. dittu

    Uwiano wa wanunua sanaa ikiwa kwenye CD na wanaonyonya kwenye internet

    Ndugu ndo maana niliweka tahadhali kwamba kabla hujakoment elewa kwanza nilichokiandika sababu nilitalajia watu kama wewe,hakuna aliyekwambia biashara halamu ilipiwe kodi kama huna umiliki nayo huna sababu ya kuiuza,siyo jukumu la serikali kutafuta kibali cha hizo movie wewe ambaye unaona ndoto...
  19. dittu

    Uwiano wa wanunua sanaa ikiwa kwenye CD na wanaonyonya kwenye internet

    Baada ya serikali kutangaza amza ya kuwalazimisha wanaouza cd za nnje nao walipe kodi kama wanavyofanya watengenezaji wa ndani( siyo kuzizuia zisiuzwe kama wapotoshaji wanavyosema)kuliibuka watu wakisema wazuie tu( japo wakaendelea kupotosha) tutadowload tu kwenye mtandao tunazozitaka. Rakini...
  20. dittu

    Tuwasapoti bongo movie katika hili

    Sasa hitimisho lako ni nini maana umelinganisha tu,haijarishi nani atanunua wote walipe kodo yaishe halafu nakuhakikishia hao wakilipa kodi hakuna movie yao itakayouzwa bei sawa na bongo cd moja inamuunganiko wa movie 20 ndani kwamwe haiwezi kuu zwa bei moja n aya bongo
Back
Top Bottom