Search results

  1. milangomitatu

    Beat Kali sana la EPL unaleta mzuka

    Kwa wapenzi wa Mpira lile beat ambalo linaanza wakati kipindi cha Mpira kinaanza au Mechi aisee lina mzuka sana na hasa kama timu yako ndo inaanza mechi unaisubiria ni balaa wenzetu wanajua aisee sijui kama TFF wana beat lolote lile kama hili la EPL ambalo naliongelea.
  2. milangomitatu

    Biashara ya kufanya

    Habari ndugu zanguni habari ya RAMADAN!! Ninataka kufanya Biashara yoyote ambayo itaniingizia kipato cha ziada najua humu kuna wazoefu wa kutosha naomba msaada wa kimawazo mawazo ya biashara ninayo ila naomba pia kupata muongozo toka kwenu asanteni
  3. milangomitatu

    Fiesta ya mwaka huu ina hatari ya kudorora

    FIESTA kwa sasa inaweza isiwe na mvuto sababu kwanza wasanii wakubwa wa Tanzania hawataperform Alikiba Diamond Vanessa Navy Kenzo la pili FIESTA ilikuwa zamani mnasikilizia nani msanii Mkubwa anakuja mnafuatilia toka Marekani na walivyokuwa wajanja akija wanamweka mwishoni Mara nyingi FIESTA...
  4. milangomitatu

    Tanzania ya enzi

    Enzi hizo
  5. milangomitatu

    Vidonge vya kupunguza Mapigo ya moyo yaendayo mbio

    Msaada ndugu zangu Mwenye kujua vidonge vinavyoweza kupunguza mapigo ya moyo yaendayo mbio naomba anisaidie kunitajia kuna kipindi nlipewa vidonge vilikuwa vidogo vidogo rangi ya kahawia ila nimevisahau jina lake Asanteni
  6. milangomitatu

    Msaada wenu ndugu zangu

    Nimeanza kazi na nimelipia nyumba laki 2 na nusu kwa miezi 6 sasa kichwa kinauma ikiisha hyo miezi 6 itakuwaje?naomba msaada kwa wazoefu hela za miezi 6 mnatoaga wapi? Una save kwenye mshahara au unakopa? Natumai ntapata jibu sahihi Asanteni
  7. milangomitatu

    TFF mbona wanajihami na siku ya kesho kuhusu mambo ya mpira na siasa

    Kama kichwa kinavyosema nashangaa hili suala
  8. milangomitatu

    Naomba mwenye old bongo flava anisaidie kunirushia humu

    Kama kichwa kinavyojieleza naomba msaada
Back
Top Bottom