Am not a politician but i doubt if CDM can lead this nation wisely.................Most of them,they dont have families........so how can u manage to lead a nation while you fail to handle your own family................Jamaa wabadilike waache siasa za kuongelea chama bali waongelee jinsi ya...
logically hatutakiwi kushabikia watu kujivua magamba....hii yote ni danganya toto na ni sera madhubuti ya kulindana...great thinkers naomba tuwe makini katika hili suala...
Ni kweli kabisa lakini siku izi mambo ni tofauti kabisa yani watu wanatumia madaraka kujilimbikizia utajiri wa nchi...kwa hali hii hatutafika kokote zaidi ya kufundisha kizazi kinachokuja nacho kufanya maovu haya...itafika mahali wenye moyo watachoka na ndipo watakapoanza kutafuta njia ya...
chama ni mtendaji mkuu...so katibu mkuu akiwa vuvuzela hapo ipo shida...chairman akitoa uswaiba magamba yatang'oka...kiukweli still magamba bado yapo na makubwa kwelikweli...bt nice shot for ccm...
Aisee poleni sana ndugu zangu wa Dar ila cha msingi tuzingatie usalama wetu na mali zetu mabarabarani yani tuendeshe kwa uangalifu na nidham ya kutosha...
me nalia na izi taxlaws zetu coz evasion and avoidance zitaendelea kila kukicha...inauma sana...bt it will reach a tym...not tomorow bt one day...when Tanzanians will ask for theirs...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.