Search results

  1. R

    Elections 2010 Matokeo jimbo la kawe kituo cha shule yamsingi mbezi beach -2

    raisi CHADEMA 100 CCM 68 CUF 1 HARIBIKA 4 UBUNGE CHADEMA 102 CCM 55 NCCR 7 CUF 1 UDP 1 APPT 1 HARIBIKA 3 DIWANI CHADEMA 98 CCM 61 CUF 4 NCCR 2 MBOVU 5
  2. R

    TEDET nayo ni kama DECI?

    Kuna jamaa yangu kaniambia kwamba kuna hiyo association inaitwa TEDET (Tanzania Eco-Development Trust), kwamba inakusanya hela za wanachama kiingilio sh. laki 5 (500.000) ambayo inajumuisha kiingilio ada ya uanachama na shamba la ukubwa wa hekari 5 huko bonde la mto RUFIJI. Kasema makubaliano ni...
  3. R

    Mjue tapeli aliyekubuhu John Alex

    Nimesimuliwa na jamaa yangu ambaye ni mmoja wa wahanga wa tapeli huyu! Huyu jamaa Jonh Alex ana vijiduka vitatu ambavyo hujifanya anauza vifaa vya ujenzi kutengeneza computer pamoja na mabati. maduka yako sehemu ya Kinondoni, Mbezi beach karibu na mateoclub opposite na njia ya kwenda St...
  4. R

    Wabunge kuunga hoja asilimia miamoja!

    Nilikuwa nakisikiliza bunge jana usiku, nikasikia mbunge wa Karagwe Brandesi akiuliza swali la msingi kwamba kuna dispensary zaidi ya tano za kata tofauti jimboni kwake ambazo ziliomba dawa mbali mbali lakini katika bajeti hajasikia pesa ilo tengwa kwa shughuli hiyo, na kwa msingi huo ina maana...
  5. R

    Ya nigeria yanukia Tanzania?

    Wakazi wa geita wanajiandaa kumuondoa muwekezaji wa mgodi wa Geita katika maeneo yao, kama wao walivo ondolewa.. Someni hapa http://www.freemedia.co.tz/daima/2008/2/1/habari7.php My take Je huko tunakoelekea hatutakuwa kama Nigeria?
  6. R

    Bongoflavor na ujumbe mzito!

    Nilitokea kuvutiwa na mdundo wa wimbo wa ‘’Marlaw’’ wa rita sikiliza hapa http://www.jamboforums.com/bongoflava.php Nikiendelea kusikiliza nikaguswa na kisa kinacho simuliwa ndani ya wimbo huu, na mwishoni muimbaji akahitimisha kwa kusema hii ni true story!! Lakini pia nilisha sikia...
Back
Top Bottom