Search results

  1. MED Org

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Salaam wana JF, Naomba msaada wa kitaalam toka kwenu kuhusu yafuatayo:- 1. Najitahidi kupost views zangu humu kwenye forum lakini mimi sizioni kenye post baada ya kutuma na hata emails ninazopokea toka JF hazioneshi kazi yagu. Hii inatokana na nini? Au ili views zangu zisanbazwe napaswa kufanya...
  2. MED Org

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Mh. Zito ameipa serikali wakati mgumu hadi kufikia jumatatu ijayo kutafakari juu ya tuhuma za ubadhirifu vinginevyo itapigwa kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu jambo ambalo litasababisha Mh. Rais kulivunja baraza la mawaziri. Mh. Zito amesema kuanzia kesho jumamosi wakusanya saini za...
  3. MED Org

    Nafasi ya kazi

    MED inatangaza nafasi za kazi kwa:- Afisa program - nafasi 1 Acountant - nafasi 1 Media officer - nafasi 1 Mtaalam wa kuhariri video na audio - nafasi 1 Tuma e-mail kwa rafiki.elimu@yahoo.com Au MED Coordinator, S.L.P 3388 Dodoma
  4. MED Org

    Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

    Hi JF Dr, Naomba msaada wa jinsi ya kutibu tatizo la kuishiwa nguvu katika tendo la ndoa. Nimepokea maswali mengi kutoka kwa wadau wetu juu ya masuala ya mahusiano lakini kwa leo naweka kwenye post maswali haya mawili kama ifuatavyo:- 1. Nini chanzo cha kuishiwa nguvu/hamu ya kuendelea kufanya...
  5. MED Org

    Mbowe ahamasisha maandamano ya kuishinikiza serikali kuchukua hatua

    Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe amewataka wananchi kuishinikiza serikali ya CCM kuchukua hatua za kuwawajibisha viongozi wake wanaoitia hasara nchi. Ameyasema hayo wakati wa kuchangia katika taarifa za Kamati za Bunge huku akishangazwa na uchache wa viongozi wa serikali kutokuwepo...
  6. MED Org

    Med kuanzisha jukwaa la majadiliano

    Wana JF; Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED)inakamilisha utaratibu wa kuwa na jukwaa la majadiliano katika masuala mbalimbali ya Elimu, Demokrasia na Utawala Bora. Mijadala hii itafanyika kwa kusisha wadau mbalimbali wakiwemo Wanaharakati, Wanazuoni, Wananchi wa kawaida na Makundi...
  7. MED Org

    Fedha za chenji ya rada kutumika shuleni

    MED inawashukuru sana wadau wote ambao kwa namna moja au nyingine mmekuwa mkishiriki kikamilifu kwenye JF kwa lengo la kuihabarisha na kuifikirisha jamii. Nasi tumeingia humu hivyo ni martarajio yetu kuwa tutashirikiana sana katika kupashana habari na kubadilishana mawazo day to day. Asanteni...
  8. MED Org

    Fedha za chenji ya rada kutumika shuleni

    Serikali imesema kuendelea kuwepo kwa udanganyifu wa mitihani kunatokana na kushuka kwa maadili ndani ya jamii ambapo walimu, wazazi na wasimamizi wa mitihani hufanya hivyo ili kusaidia upatikanaji wa alama za juu kwa watahiniwa. Je wana JF; hakuna namna ya kusaidiana kukabiliana na tatizo hili...
Back
Top Bottom