Med kuanzisha jukwaa la majadiliano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Med kuanzisha jukwaa la majadiliano

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MED Org, Apr 19, 2012.

 1. MED Org

  MED Org Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF;
  Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED)inakamilisha utaratibu wa kuwa na jukwaa la majadiliano katika masuala mbalimbali ya Elimu, Demokrasia na Utawala Bora. Mijadala hii itafanyika kwa kusisha wadau mbalimbali wakiwemo Wanaharakati, Wanazuoni, Wananchi wa kawaida na Makundi mbalimbali ya Kijamii ili kushiriki katika kutatuna changamoto mbalimbali zinazoikumba jamii yetu hasa kwa wananchi wa Mkoa wa Dodoma.

  Ili kiupata matokeo chanya katika suala hili, MED inaamini kuwa wapo wadau mbalimbali ambao kwa na mna moja au nyingine wana uzoefu na mbinu mbalimbali za uendeshaji wa majukwaa ya aina hii.Tafadhali tupe ushauri na pia unaweza kutupatia maoni ya ni aina gani ya mada ambazo unadhani zinaweza kujadiliwa katika jukwaa hili.

  Bado hatujapanga siku na muda rasmi wa uendeshaji wa jukwaa lakini tukipata maoni yako itatusaidia pia kupendekeza muda, saa, na siku ambay unadhani itakuwa nzuri kwa shughuli hii.
   
Loading...