Search results

  1. P

    Kimya cha Wizara ya Mambo ya nchi za nje & Ubalozi wetu Qatar tukitafsiri vipi?

    Kituo cha televisheni kinaelezea kuwa kuwa uwezekano mkubwa kuwa nchi ya Qatar ikapinduliwa na akina Saudi Arabia, UAE na Misri ambazo zimefunga mipaka yao na pia kuzuia ndege za Qatar kupita kwenye anga zao (tazama picha hapo chini) na hii imepelekea Qatar kutumia anga ya Iran Pia kutokana na...
  2. P

    Inawezekana vipi video za Millard Ayo ziko clear kuliko TBC?

    Inaingia vipi akilini kuwa Television ya Taifa/TBC ambayo ina unlimited budget na resources za video zake zina kiza na mwingu lakini video zinazotolewa na huyu kijana Millard Ayo ambaye videos zake ni za Simu ya mkononi ni High Definition (HD) na ni ziko clear. Mfano tazameni video ya TBC za...
  3. P

    Ujumbe huu uende Idara ya Mawasiliano Ikulu & Greyson Msigwa

    Kwa kweli sikutegemea kuwa zama za Magufuli idara ya mawasiliano ingekuwa efficient kiasi hiki na hasa ukizingatia kuwa ni zama za kubana matumizi hivyo Idara hii ingekuwa inafanya kazi kwa bajeti ndogo na wasingeweza kufanya haya wanayofanya. Ukweli lazima usemwe kuwa tulitegemea makubwa sana...
  4. P

    Je, Marais Mwinyi, Mkapa & Kikwete wanapewa Daily Presidential Briefing?

    Kwa hali ilivyo nina wasi wasi kama kweli wafuatao wafuatao wanapewa daily presidential briefing Marais na makamo wao wastaafu, mawazariri wakuu, Majaji wakuu wastaafu na Wakuu wa jeshi wa staafu juu ya hali ya maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa Na kama kweli hali ni hivyo then reality...
  5. P

    Baba wa Demokrasia Tanzania, Ali Hassan Mwinyi na Cabinet Meeting iliyochukua Dakika 3 - Machi 1990

    Kuna jambo la kujifunza hapa.... Tanzania Daily News front page 13 March 1990 The ‘Daily News’ brought out its biggest ever headline on March 12th 1990 to report the shortest ever cabinet meeting. Ministers arrived in their cars and, according to a report in Dar es Salaam’s ‘Business...
  6. P

    Sakata la Dangote: Chadema Na Freeman Mbowe lawamani

    Waziri kivuli wa biashara (Chadema ) aliamua kukaa kimya Freeman Mbowe naye aliamua kukaa kimya Hii ilikuwa ni investment na jambo ambalo linaathiri maisha ya watanzania zaidi ya 5000 kwa namna moja au nyingine Hawa viongozi wa up insanity walikuwa na access na privilege za kujua taarifa a...
Back
Top Bottom