POST TRUTH
Senior Member
- Nov 18, 2016
- 104
- 147
Kwa hali ilivyo nina wasi wasi kama kweli wafuatao wafuatao wanapewa daily presidential briefing
Marais na makamo wao wastaafu, mawazariri wakuu, Majaji wakuu wastaafu na Wakuu wa jeshi wa staafu juu ya hali ya maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa
Na kama kweli hali ni hivyo then reality seems to be opposite.
Hakuna anayetaka C-in-C aingiliwe kazi yake lakini pia hakua ubaya akawa anafanya consultation na predecessors wake kwenye mambo kadhaa wakadhaa kwenye kuendesha hii nchi.
Nachelea kusema kuwa sitaki tufike mahala mambo yashakuwa magumu then safari za seaview, mikocheni zinaanza kwenda kufuata ushauri wa wazee ambao in principle siamini kama wanasikilizwa leo alone kupewa hiyo "PDB"
I stand to be corrected