POST TRUTH
Senior Member
- Nov 18, 2016
- 104
- 147
Kwa kweli sikutegemea kuwa zama za Magufuli idara ya mawasiliano ingekuwa efficient kiasi hiki na hasa ukizingatia kuwa ni zama za kubana matumizi hivyo Idara hii ingekuwa inafanya kazi kwa bajeti ndogo na wasingeweza kufanya haya wanayofanya. Ukweli lazima usemwe kuwa tulitegemea makubwa sana wakati wa JK kwa sababu JK mwenyewe alikuwa ni rais aliyekuwa akipenda mambo ya kileo na dunia hivyo tulitegemea kuwa Idara yake ya habari ingekuwa iko active na outreach ingekuwa ni kubwa zaidi. Mwishowe naona mliona jinsi gani walivyokuwa wametengengewa mabilioni ambayo yaliishia kwenye matumbo ya wajanja na wapiga dili.
Idara ya mawasiliano ya Ikulu inajitahidi kwa kweli na nimependa kuwa wanaonyesha live events kupitia social media kama vile Facebook na Youtube na wanajitahidi ku update info japoa inaonekana wazi kuwa hawana budget ya kutosha au hawana manpower ya kuweza kupdate na kuweka taarifa mbali mbali kwa spidi ya dunia tuliyonayo.
Baadhi ya mambo ambayo nimeyaona ni:
1. Twitter handler wa Rais inaelekea yuko nyuma sana na dunia inavyokwenda na saa zingine spelling na grammar (ikiandikwa ujumbe kwa kingereza) ni mbaya sana.
2. Youtube Channel Ikulu mnachelewa sana ku update na kuweka videos mpya (huwa tunasubiri muda mrefu mno)
3. Video Quality inajitahidi lakini you could do more with proper graphics
4. Idara ya picha naomba mufungue free accounts hata flickr ambayo ni free ili muhifadhi picha huko na wananchi wawe huru ku peruzi picha
5. Ikulu should have presence on INSTAGRAM na inabidi iwe updated kila wakati
6. video EDITING hapa ndiko tatizo kubwa lipo kwa sababu picha za video huwa haziendani na anachokiongea Mheshimiwa Rais na hili ni tatizo kubwa sana kwa kweli.
7. Ikulu iache kutumia video za TBC ambayo quality ya video zake utadhani bado tuko kwenye 1960's. Sielewi inawezekana vipi MillardAyo akawa na state of the art video equipment na TBC ishindwe. Sielewi ugumu uko wapi kutumia hata sim ambazo zina HD zama hizi
8. Muhim sana kufanya Live streaming hivyo jitahidini sana kwenye hili
9. Hakuna ubaya for Ikulu kuwa engage JAMIIFORUMS members ambao hata kama wako critical kwa serikali ili kupata suluhu na michango yao ili kufanya hii idara iweze kufanya kazi yake. Pia hakuna ubaya ku engage vijana ambao wako tayari kufanya internship Ikulu
10. Ni vyema ku engage watu na kuuuliza feedback ili na maoni wapi waongeze nini. Na pia si vibaya Ikulu ikaonyesha mfano na idara zingine za serikali zikafuata
11. Kuna yule interpretor wa Kiswahili to English. Naomba abadilishwe, tafuteni mwingine kwakeli sababu zinajulikana