Watakua wanalingana point then wanaangalia head to head kati ya yanga na CRB nani kamfunga mwenzake gori nyingi! Bro umepaniki nini! Yanga kashatinga robo fainali
Kabla ya mwaka 1868, Jiji linalofahamika kwa jina la Dar es Salaam, halikuwepo kabisa. Badala yake kulikuwa na mji ulioundwa na miji mitatu maarufu, ambayo ni Kunduchi, Mbwamaji na Tindwa. Kila mji ulijitegemea, huku idadi ya wakazi wake wote kwa jumla haikuzidi watu 2,000.
Kati ya miji hiyo...
Kuna Fukara, masikini na Tajiri
Fukara ni mtu ambae anashindwa kumudu mahitaji ya msingi kama vile chakula, malazi na makazi
Masikni ni mtu ambae hana uwezo wa kukidhi mahitaji yake ya msingi kama nilivyoainisha hapo juu na kuwa na akiba
Tajiri ni mungu peke mkwasi wa kila kitu,
Kinyume...
[emoji3514]Tabia 1- Kuwahi kuamka*
Utafiti uliofanyika na Mr Thomas ulibaini kuwa asilimia 75 ya mabilionea wanaamka saa 11 alfajiri.
Si hivyo tu hata tajiri wa kwanza Tanzania, Mo Dewj alipohojiwa alisema anaamka kila siku saa 11 alfajiri.
Kuna faida nyingi sana unazipata unapokuwa unawahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.