Mamelod hii mechi haikua muhimu kwake kwasababu ameshafuzu na anaongoza kundi hivyo anacheza kulinda heshima na kuwalinda wachezaji wake na mechi zijazo, ulitakiwa kuwapa goli moja tu ambalo ilikua ni lazima wafunge kulinda heshima ya team nyumbani.
Kwa Upande wa AL AHLY pia ilikua ni lazima...
*MREJESHO * KAMA ULIWEKA HII CODE
C66045
SPORTYBET MKEKA UMETIKI NI ODDS CHACHE TU KAMA UMEWEKA LAKI MOJA BASI UNA 250,000/=
TUENDELEE NA MAPAMBANO ODDS CHACHE UHAKIKA WA KULA
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzi wa tangu tarehe 9/04/2016 hadi leo sio mchezo hapo wapo walio kufa pia wapo walio hai. Watakuja kuchungulia kama nilivokuja mimi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Jaribu kuwa mwanamke ili ujue kwamba hata wao wanavumilia mengi,unafikiri kunyanduliwa ni rahisi sana,kuzaa nako ni rahisi si ndio? Kubleed kila mwezi ni rahisi? Wanawake wanapitia mengi sana acha kutamani maumbile ambayo Mwenyezi Mungu hakukupa hiyo ni dhihaka kubwa sana. Ukipenda vitu rahisi...
Acha kuota ndoto unafananisha nchi yenye viwanda vingi vya silaha hadi inauza na kutoa msaada kwa rafiki zake na nchi ambayo haina viwanda vya kutengeneza silaha? Huo ni utoto kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.