Search results

  1. Mlingwa

    Vacancies: Assistant Lecturer and Tutorial Assistant in Environmental and/or Occupational Health

    1. Assistant Lecturer in Environmental Health and/or Occupational Health i. Qualifications Holder of a Master Degree in Environmental Health, Master Degree in Occupational Health, Undergraduate Degree in Environmental Health with Masters in Public Health, Undergraduate Degree in Occupational...
  2. Mlingwa

    Tishio la ugaidi SAUT - Mwanza: Wanafunzi na Mhadhili watimka huku mtihani ukiendelea

    Kutoka chuo kikuu cha SAUT Mwanza, wanafunzi wa shahada ya uzamili katika biashara MBA, walikuwa na mtihani ghafla akaingia kijana wa wa Kisomali, watu wote mbio kila mtu akipitia upenyo ajuao yeye. Purukushani kwa kwenda mbele, Mhadhili mbio, wanafunzi mbio.Kumbe yule kijana ni mwanafunzi pia...
  3. Mlingwa

    Did you know that "A nation's decay occurs in nine cycles" see where Tanzania is...

    Did you know that a nation's decay occurs in nine cycles, analyze and see in which cycle Tanzania is, then don’t be surprised with what is happening; 1. People go from bondage to spiritual faith. 2. From spiritual faith to courage. 3. From courage to liberty. 4. From liberty to abundance. 5...
  4. Mlingwa

    Point of correction mr. President

    Mhe. President wa Tanzania; leo nimekusikia kupitia ITV, naomba ninukuu......"kwakuwa tumeimaliza malaria huko Zanzibar, ni bora tukaimaliza na huku bara maana mtu anaweza kwenda Zanzibar kutoka bara akiwa na Malaria na hivyo kuipeleka Zanzibar..." Sipendi kuendelea kunukuu. Point of...
  5. Mlingwa

    Prof. Lipumba akana kumtetea Pinda, akiri kupigiwa simu kuhusu uwaziri

    Wajamii, Leo Mkufunzi na mtaalamu wa uchumi Prof. Lipumba katika mahojiano ya moja kwa moja "LIVE" channel ten usiku huu kipindi cha Hamza Kasongo Hour, amekanusha kumtetea Pinda badala yake amemshangaa kwanza kutojifunza na kutenda kama Mhe. Kawawa (Waziri mkuu mstaaafu, Marehemu), pili...
  6. Mlingwa

    Polisi waongezwa usiku huu Arumeru Mashariki kushinikiza Siyoi kutangazwa?

    1. Kutoka ndani ya wana-usalama, Wana CCM wamejipanga kwa kila hali ili kuchakachua matokeo na kisha Sumari kutangazwa mshindi. 2. Kuna magari yanaelekea Moshi standby kwa ajiri ya Sherehe, police wapo njiani kutokea Korogwe, Tanga, Handeni, Same na Mwanga kuimarisha ukandamizaji dhidi ya...
  7. Mlingwa

    Jipya la wameru hili hapa

    Taarifa za wazee wa kimira na wana-Arumeru zinathibitisha kuwa "wameru hawaogopi risasi wanaogopa mbwa"
Back
Top Bottom